ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Umeona nn?Nilichoona ni hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona nn?Nilichoona ni hatari sana
Hizi zimehit bro safari hii jordan akufunga airspace yake ngoma zimepita na iron dome zimefeli,kuna airbase na gas platform za israel zimeenda,kikubwa tuombe iran asipige kwenye makazi ya raiaHata zile 300 zilitoka video kama hizi kuwa yametua kumbe hamna kitu.
Hata kwa Urusi alipotaka kuingia Ukraine USA alishasema mapema. Jamaa wako ahead of time.Ila USA intelligence yao kiboko. Wakati Iran anaandaa zana zake USA kashamuona.
USA mnafiki ndio maana Kuna baadhi ya operation IDF Huwa wanafanya bila kuwashirikisha.Americca anaangali pa kupiga wewe.
Iran kaonyesha ubabe kuwa ana uweo wa kukatia kiberiti hako ka nchi ka Israel na ana uwezo wa kutia moto visima vyote vya mafuta vya nchi vibaraka wa USA na assets za USA huko middle east.
USA huwa haingii kichwakichwa kwa nchi zenye nguvu
na wewe unaamini hii Leo Kuna jamaa wawili wamejitolea wameuwa watu zaidi ya kumi ipo Aljazeera pia,..vita sio vizuri bro uvisikie tu na unashangilia hapa waislaam wanakufa mahasimu zako,watu pandezote wanapoteza wapendwa wao.Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.Kimzaa mzaa mashariki ya kati kunaenda kulipuka vita ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia.
Kufika jambo moja, naada ya kufika yamefanya nini?A ha ha ha. Mizigo inafika inakotakiwa wewe unasema imetunguliwa.
Unajifurahisha???#BREAKING Iran's state TV says 80% of missiles launched at Israel hit their targets — Reuters
Israel ni mkorofi na huwa anatafuta sababu ili akubonde vizuri. Irani nae si wa mchezo mchezo sasa hapo tutegemee balaa zito. Tusiiombee hii itokee ni mbaya sana.Kwa makombora aliyopiga Iran ni tishio hilo!
Air defence system za Israel hazijafanya kazi kabisa!
Akijibu kazi anayo kwa kweli.