Iran na hizo manati zake zinashindwa ua hata mende hapo Israel tena basi manati zenywewe za kusaidiwa na n.korea, russia na china aisee muajemi buree kabisaaaNi kweli wenda taarifa za kijasusi zilikuwa zimesha vuja juu ya shambulizi hili ndo maana Netanyau alikuwa anatoa vitisho ili viongozi wa Iran wasite ila inavyo onekana viongozi wa Iran wamefika kiwango cha mwisho cha uvumilivu hivyo wameamua liwalo na liwe.