Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia


Kumbe America Tena? Si waachwe tuone mchumba ni yupi?
 
Wewe lizee kwa nini unakuwa mshabiki wa hivi vita namna hii?? Una enjoy amani ya Tanzania lakini unataka binadamu wenzako wataabike huko mashariki ya kati
 
Kujua muda precise.
Hahahaa. Iko hivi….

Iran wamefanya makusudi ili US na washirika wake waweze kutoa tahadhari mapema kwa sababu hawakuwa na lengo la kudhuru maelfu ya watu.

Kuna vitu mtu unaweza kufanya kwa makusudi kumrahisishia adui wako ufahamu.

Halafu adui wako akijua, kwa watu wengine huyo adui wako ataonekana ni kiboko kwa kugundua mapema ulichokuwa unataka kufanya.

Kumbe Ukweli wa mambo ni kwamba wewe ndiye uliyemrahisishia huyo adui wako kuweza kujua.

Hii ni kwa mujibu mtu mwenye ufahamu wa kinachoendelea [geopolitical expert, siyo mimi].

Ni kama kipindi kile Iran ilitangaza kuwa makombora yake yako njiani…….ulijiuliza kwa nini watangaze hivyo?
 
Endelea kujidanganya kikubwa source ya taarifa sio moja Kila mmoja aangalie yake , mm nilichokiona Israel wanauwezo wa kutungua makombora ya hamas tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…