Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.

Kumbe America Tena? Si waachwe tuone mchumba ni yupi?
 
Siyo umerusha makombora. Ni mvua ya missiles, Isrqel nzima ving'ora👇🏾

View attachment 3112453

Wameanza kutubania mpaka Channel mbao zetu, tusione.

Kila unayoibgia unakuts picha tu, hakuna streaming.

Watabana sana tu.

Iran kishaamua, anasema anataka Mmarekani, na NATO yao waingue wazi wazi siyo kwa kujifichaficha kama wanawari wa Kisaudi.
Wewe lizee kwa nini unakuwa mshabiki wa hivi vita namna hii?? Una enjoy amani ya Tanzania lakini unataka binadamu wenzako wataabike huko mashariki ya kati
 
Kujua muda precise.
Hahahaa. Iko hivi….

Iran wamefanya makusudi ili US na washirika wake waweze kutoa tahadhari mapema kwa sababu hawakuwa na lengo la kudhuru maelfu ya watu.

Kuna vitu mtu unaweza kufanya kwa makusudi kumrahisishia adui wako ufahamu.

Halafu adui wako akijua, kwa watu wengine huyo adui wako ataonekana ni kiboko kwa kugundua mapema ulichokuwa unataka kufanya.

Kumbe Ukweli wa mambo ni kwamba wewe ndiye uliyemrahisishia huyo adui wako kuweza kujua.

Hii ni kwa mujibu mtu mwenye ufahamu wa kinachoendelea [geopolitical expert, siyo mimi].

Ni kama kipindi kile Iran ilitangaza kuwa makombora yake yako njiani…….ulijiuliza kwa nini watangaze hivyo?
 
Kupitia Tv, live nimeona makombora mengi (zaidi ya 100) ya Iran kwenye anga la Tel Aviv, Israel na karibu yote yakionekana kuzuiwa angani kabla ya kutua, hii inatoa picha hii;
1. Iran ametangaza vita kamili dhidi ya Israel.
2. Iran amefanikiwa kupeleka makombora ya masafa marefu na kupenya moja kwa moja ndani kabisa ya Israel.
3. Mifumo ya Israel ya kutungua makombora angani iko imara.
4. Israel imepata sababu ya moja kwa moja kuishambulia Iran.
Endelea kujidanganya kikubwa source ya taarifa sio moja Kila mmoja aangalie yake , mm nilichokiona Israel wanauwezo wa kutungua makombora ya hamas tu
 
Back
Top Bottom