Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Walimtafuta na amejaa, ndiyo maana Netanyahu alitoa speech ya kuwaandaa wananchi wa Iran kwa yajayo.
 
Ushauri wangu Israel asijibu kwa pupa moto utawaka vita ya dunia
Jews wakiamua kufanya counter attact utasikia NUCLEAR SPECIALISTS WA IRAN walikuwa wanakula birian ya ngamia wakawa food poisoned kwa CYANIDE au MAKAMANDA WA JESHI LA IRAN wamekunywa maji yenye BOTOX.
Myahood huwa anapiga counter attack kiasi adui anajiuliza imekuwaje ni ajali au ni Planned mission?????
 
Refer kauli ya ahmednejad kuhusu shirika lao la ujasusi
 
Na hiyo ndo akili we tulia tu utasikia pampaz alovaa hayotolah yalipuka
Au utasikia dildo alokuwa akitumia rais wa iran na bodyguard wake lalipuka
 
Hivi ukubwa wa eneo Kwa Israel na nchi za kiarabu zinazoizunguka ukoje?

Yaani Israel ana eneo kubwa kuliko hizo nchi za kiarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…