Ni kweli lakini jinsi mifumo ya ulinzi ya Israel ilivyo zidiwa leo inaonesha kumbe Iran inaweza kuidhuru vibaya sana Israel iwapo vita kamili itatokea.Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.
Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.
Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.
T14 Armata
Uliona ile iliofumua underground bunker ya nasrallah ?Daah aisee hata kama una akili za kuvukia bara bara tu yaani bomu lichonge hivyo kama drill aisee..
Acha upumbavu ,hujui genocide ambayo inafanywa na hao washenzi miaka zaidi ya sabini sasa humo Palestina au una mtindio wa ubongo ?ni upuuzi. shia (Iran) wameleta shida. isingelikua itikadi zao za kijinga wangelikua wayahudi na wapalestina wanaishi mpaka sasa kwa amani na kusaidiana.
Yaan hizo manati za boya muajemi bure kabisaaaa tena basi hizo kasaidiwa na china, russia na n.korea na kazirusha 180 na hazijaua hata mende wa kiyahudiAl Jazeera inaripoti kuwa hakuna majeruhi ndani ya Israel….
Tangu lini wakasema kuwa shambulio limeua. Sera za vita vya Marekani na Israel ni kuficha ukweli wanaposhambuliwa. Sasa na wewe Mwijaku na akili kifuu UNAAMINI NA KUSHANGILIA.Hizo manati hazijaua hata mjusi hapo tel aviv na zimerushwa 180
Yeah!...kwani Kuna makombora yaliyopenya hizo ADs?.Ni kweli lakini jinsi mifumo ya ulinzi ya Israel ilivyo zidiwa leo inaonesha kumbe Iran inaweza kuidhuru vibaya sana Israel iwapo vita kamili itatokea.
Tangu lini wakasema kuwa shambulio limeua. Sera za vita vya Marekani na Israel ni kuficha ukweli wanaposhambuliwa. Sasa na wewe Mwijaku na akili kifuu UNAAMINI NA KUSHANGILIA.
Zimezidiwa na hii sio dalili nzuri kwa Israel iwapo vita kamili itaanza.Mbona kama makombora yote yametua chini,mifumo ya iron dom ilikuwa imezimwa au nini kimetokea
sasa hiyo ndio Raha kweli,wakati mnashangilia wenzenu wanateseka,kwasasa wameanza tia akili waarab hawakuyazuia kama mara ile.Karibia raia wa Israel milioni moja wameingia kwenye bomb shelters.....
Mkuu vita sio rahisi kama wengi mnavyo fikiri.Walimtafuta na amejaa, ndiyo maana Netanyahu alitoa speech ya kuwaandaa wananchi wa Iran kwa yajayo.
Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa free.Hatimae Iran imeipiga tena Israel kwa makombora zaidi ya 200 yakitokea kwenye miji tofauti nchini Iran ,huku yakisafiri kwa zaidi ya 2000km ndani ya dakika 25.
Iran imetoa onyo kwa utawala wa kizayuni kushambulia zaidi endapo itahibiti kujibu , mashambulizi haya ya Iran imesema ni jibu kw Israel dhidi ya kuvunja sheria za Iran na mamlaka yake ikiwemo kufanya mashambulizi ndani ya Iran ama raia wa Iran na miundo mbinu yake!!View attachment 3112490View attachment 3112490
Military target ngapi zimepigwa zaidi ya negev airbase ambayo ilipigwa pia april na open space 🤣🤣Awajapangua ata moja anapigwa km gaza alivopiga awana uwezo w kuzuiya ata USA kashindwa vitu vinatua live lkn wairan wastaharabu sana wanapiga military taget tu. Km wao wanapenda sifa wangeanza kuuwa watu.
Acha kuongea kama mwehu , au hujui kazi ya hawa Hezbollah ,Houthis ,Hamas na Iraq resistance ?Nadhani hapo Israel imepata sababu ya kuingia Iran!