Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Wamalizane tu.Wakiisha huko,sisi tutakwenda chukua nchi zao.
Sisi hao unaojiita kama sisi hawapendi watu weusi hata kuwasikia na wapo Congo, South Africa, Sierra Leone na sehemu kibao za Africa wanaua wa Africa wenzako na kupora Mali zao.
 
Mkuu Iran anajibu kwa lile shambulio la kiongozi wa Hamas kuuawa kwenye ardhi ya Iran..
 
Jehova anatufwa na mungu w Iran saidieni kusambaza habari mungu w irani yupo tel vivlv kafika adi Jerusalem lkn jehova kawaacha taifa teule pekeyao wanalia kama gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…