Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Waisrael hawataki vita,kwa hii ya leo itamuweka katika hali mbaya sana netanyau
 
Saudi Arabia na Jordan wameambiwa mkijaribu kuyazuia, batch inayokuja itaishia kwenu.

Hezbolkah wamesema wso wstsingia shift ya usiku kurusha makombora yao.

Yemen wanmesema wao wataanza kurusha yao baada ya kusali alfajiri, saa hizi bado wanapiga handas yao.
 
Ok sawa. Nimeona serikali ya Israel wamesema watachukua hatua mida wowote wai watakao ona unafaa.
 
Aisee hii inaonekana makombora alotumia sasa hivi Iran ni makubwa kuliko ya mwanzo.
Kama haitazuka vita sijui.
manati tu hizo na hapo ni kombinenga ya msaada wa mrusi, mchina na n.korea
 
Wakuu je Israel watajibu mapigo ya Iran?
Nawaza haya mapigo watajibu baada ya mda gani , je watapishana angani kama piga nikupige au watatulia kwanza halafu watajibu kwa kushtukiza!

Sidhani watatulia bila kujibu mapigo ila itachukua mda gani kujibu?
 
Saudi Arabia na Jordan wameambiwa mkijaribu kuyazuia, batch inayokuja itaishia kwenu.

Hezbolkah wamesema wso wstsingia shift ya usiku kurusha makombora yao.

Yemen wanmesema wao wataanza kurusha yao baada ya kusali alfajiri, saa hizi bado wanapiga handas yao.
 
Kuna cha maana kilichopigwa hapo israel maana before makombora kufika anga la israel tayari walisha hamisha kila cha maana kutoka maeneo ambaya yalikuwa rahisi kupigika
Zaidi amekufa mpalestina mmoja 😆
Palestina limeuliwa na manati feki za muajemi tena za msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…