Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Waisrael hawataki vita,kwa hii ya leo itamuweka katika hali mbaya sana netanyauHatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.
Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.
Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.
T14 Armata