Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

👋👋👋👋
 

Attachments

  • IMG_20241001_223134.jpg
    16 KB · Views: 1
Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Wataanza kusema israel inaua watoto na wamama wakati wenyewe wanarusha makombora kama njugu mawe.
 
Huu ndo muda China inapaswa kuingia Taiwan na kuichukua.

Marekani hawezi kupigana vita Ukraine, Mashariki ya Kati, na huko China na Taiwan.
Marekani itakuwa njia panda hiyo hatua ikifika...
 
Ninawaza,, tu. Israel akiona anazidiwa, akaamua kutupia nuclear hapo Tehran,, Irani, kama USA alivyotupia Atomic kule Hiroshima Japan 1945 dunia itakuwaje ? Madhara ya hiyo nuclear kimazingira yatasambaa kiwango gani ?
 
umeandika kama mgonjwa
 
Sawa utafika home maana tabia za kuanguka kwa makusudi halafu usingizie pombe sio poa ndugu wanakulalamikia kwa tabia zako hizo za kugawa bure!
Mimi siyajui hayo maana najinywea sebuleni kwangu na mke wangu labda wewe tabia yako ndugu zako wanakulalamikia umeona unitupie mimi tabia zako chafu
 
The only language west understand is Power. Wao ndio wanatunga sheria hivyo usitegemee ukipigana nao wataifata hiyo sheria, No!

Iran kaanza hivyo Israel akilipa hakuna kulalamika isipokuwa Iran apige na aendelee kupiga maana hiyo ndio lugha ambayo west wanaelewa na sio kulia lia.
 
Haya atishie asitishie Israel wanatabia za visasi na lazima walipize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…