Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Narudia kukwambia Iran sio Iraq.
Huwezi ishambulia kiwepsi hivyo.
Pia Iran kiutafiti wa CIA inaonesha kila mkoa kuna tunnel ya ballistic missiles.
Iran sio Iraq.
 
Kuna kitu nashindwa kuelewa, kama silaha zinarushwa tu ndani ya Israel bila kurenga vituo vya kijeshi, kwanini nao Israel isirushe makombora hovyo huko Lebanon, Gaza n.k?
 
Narudia kukwambia Iran sio Iraq.
Huwezi ishambulia kiwepsi hivyo.
Pia Iran kiutafiti wa CIA inaonesha kila mkoa kuna tunnel ya ballistic missiles.
Iran sio Iraq.
Pole kwa utafiti. Hata sadam kabla ya vita Domo lilikua hivyo hivyo Kama kwa Iran Leo.
 
400 bombs, no kill, no luck, no skill. The mullahs of Iran are a sick joke.

Moral of a Lesson: never rely on the so called Muslim ummah, it is full of hedonistic hypocrites.​
Na umelibeba hilo km walivyokulisha?!!!! Katikati ya mji kama pale?!!! Haya si mapenzi' Bali mahaba!!!!🤣🤣🤣🤣🤣

Kuhusu hilo tusi; yametukanwa zaidi ya hayo na wigo ndo kwanza unazidi kupanuka. Pole
 
Katika watu ninao waombea waishi kwenye balaa ni wakenya siwapendi kinoma hao jamaa vurugu zisiishe kwao
 
Mimi siyajui hayo maana najinywea sebuleni kwangu na mke wangu labda wewe tabia yako ndugu zako wanakulalamikia umeona unitupie mimi tabia zako chafu
Ukimaliza hayo matapu tapu tafuta kopo la kuchambia ukanye ulale!
 
Hizi zimehit bro safari hii jordan akufunga airspace yake ngoma zimepita na iron dome zimefeli,kuna airbase na gas platform za israel zimeenda,kikubwa tuombe iran asipige kwenye makazi ya raia
Apige tu maana naye watu watapiga Kama alivyopiga yeye. Hao wayahudi hata upige usikii wakisema wanawake na watoto.
 
Cha kushangaza sana kila wakati Israel ikipigwa wanajidai eti zero casualties.

Israel kama mwanaume kweli apigane na Iran mwenyewe aache kumuita USA na Western countries wamsaidie.. amezoea kuua watoto ngoja leo walale mashimoni pambafu zao
 
Yote makombora ya Iran yamelipuliwa kabla ya kugusa ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…