Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Yale makombora na drones zaidi ya 300 yaliyopiga targets ndani ya Israel haikuwa sababu ya kuishambulia Iran?Kupitia Tv, live nimeona makombora mengi (zaidi ya 100) ya Iran kwenye anga la Tel Aviv, Israel na karibu yote yakionekana kuzuiwa angani kabla ya kutua, hii inatoa picha hii;
1. Iran ametangaza vita kamili dhidi ya Israel.
2. Iran amefanikiwa kupeleka makombora ya masafa marefu na kupenya moja kwa moja ndani kabisa ya Israel.
3. Mifumo ya Israel ya kutungua makombora angani iko imara.
4. Israel imepata sababu ya moja kwa moja kuishambulia Iran.
Usiseme amepata sababu ya kuishambulia Iran bali Iran anaitaka sana vita hii ili mbabe wa mashariki ya kati ajilikane rasmi na kuachana na propaganda za magharibi.