Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Kupitia Tv, live nimeona makombora mengi (zaidi ya 100) ya Iran kwenye anga la Tel Aviv, Israel na karibu yote yakionekana kuzuiwa angani kabla ya kutua, hii inatoa picha hii;
1. Iran ametangaza vita kamili dhidi ya Israel.
2. Iran amefanikiwa kupeleka makombora ya masafa marefu na kupenya moja kwa moja ndani kabisa ya Israel.
3. Mifumo ya Israel ya kutungua makombora angani iko imara.
4. Israel imepata sababu ya moja kwa moja kuishambulia Iran.
Yale makombora na drones zaidi ya 300 yaliyopiga targets ndani ya Israel haikuwa sababu ya kuishambulia Iran?

Usiseme amepata sababu ya kuishambulia Iran bali Iran anaitaka sana vita hii ili mbabe wa mashariki ya kati ajilikane rasmi na kuachana na propaganda za magharibi.
 
Mchumba tu iran na muda mchache ayatollah anazikwa kama hezibollah
 
Duh! Taarifa zinasema makombora yanatua ndani ya Israel na kwamba iron dome imeelemewa.

Hahahaa shit about to get real.
Mlikuwa mnaona Iran ni kama hao mashoga zenu mnaowaabudu ?
Iran ni peaceful na mvumilivu sana ila kwa wanachofanya hawa machoko wa Kizayuni ni intoreable ,lazima kuwe na consequences Kwa upumbavu wao
 
Akuna kidume itashambulia iran awo jamaa ndio Yahudi OG historian itakuja kuwekwa wazi uko mbele awajawai shidwa. Awa mnawashabikia yahudi feke mizungu ya ulaya ndio mana wanapenda sana kufukuana mitalo kama wenzao w ulaya technology nyingi zimeanzia kwao lkn zimeibiwa na kuwekwa ati miliki USA.lkn aya mambo ni yawairani.
 
Israel labda kwa mbinu za kijasusi za milipuko ya ndani ya Iran.

Ila kivita hamuwezi! Laiti Angelina makombora yaliyopiga Israel ni mengi mno!

Jordan mwenyewe ameshindwa kutungua hata moja. Yamevuka nchi zote hizo na yame hit target.
Target moja tangu april we kichekesho zaidi mengi yametua open space ila mnajua mziki wa myahudi mtakuja kulia wamama na watoto wanakufa maana ndio shield za magaidi
 
Mlikuwa mnaona Iran ni kama hao mashoga zenu mnaowaabudu ?
Iran ni peaceful na mvumilivu sana ila kwa wanachofanya hawa machoko wa Kizayuni ni intoreable ,lazima kuwe na consequences Kwa upumbavu wao
Ngoja Netanyahu ajibu mapigo halafu tuone.
 
Back
Top Bottom