Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.

Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.

Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.

T14 Armata
Nasubiri Israel iue mradi wa nyuklia wa Iran. Hilo ndio la msingi hata kama watapigwa makombora kiasi gani.

Majibu yaje haraka
 
Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa free.
Yeah na vita ya ukraine ile ipo planed kumpunguzia iran msaidizi. Us&israel akili nyingi. Walitaka kumpunguzia nguvu kwa china sema china akastuka. Iran inaenda fanywa balaa maana US kitambo to anamwangalia kama hayupo wakati katandaza vifaa vyake kumzunguka iran
 
Back
Top Bottom