Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Atafanya nini wewe dogo kwa Iran hicho kinchi chake Iran akipeleka Missiles 500 kwenye majumba ya TelavAviv kawamaliza.

Iran ni kubwa dogo Israel ni mtoto sana kwa Iran.
Dogo ni mimi au Israel?

Huna adabu halafu huna unachokijua, zaidi ya ushabiki wa kitoto.
 
Ile serikali ya Netanyau imejaa wanasiasa wenye mrengo mkali wa kulia lazima watajibu, isitoshe hiki ndicho Netanyau alikuwa antamani kitokee yaani waingie kwenye mgogoro na Iran Ili kuitumbukiza na Marekani.
Sasa ataweza kupigana na hao wote kwa mda mmoja?
 
Yaani washambulie kinu cha nyuklia?....too risky
Too risky ila ndiko wanaelekea. Israel haina opportunity nyingine ya kukishambulia tofauti na sasa. Baada ya hizi vurugu miaka mitano ijayo sio Hezbollah wala Hamas itakuwa ishapata nguvu za kutosha na makamanda wazoefu wenye morali kufanya kitu. Na investment ya Iran kwa makundi inaweza isiendelee haileti matokeo mazuri bora iwekeze kwenye makombora zaidi yanatoa matokeo mazuri.

Sasa ndani ya miaka mitano ijayo Iran itakuwa na nuke ikiamua, na sasa wameona umuhimu wa kuwa nayo. Israel isiposhambulia vinu sasa itapata ugumu baadae.

Israel huwa hawapendi kulaumiwa wanakutegeshea uanze wakijibu waseme hawana kosa.
 
wala North Korea haijawahi
North Korea na Iran wamewahi kukaa pamoja na kukubaliana na kushare nuclear technology pamoja na missile technology.
Tena ilifanyika kipindi ambacho Iran hawajafaniliwa sana kwenye swala la kuwa na missile.
North Korea iliisaidia sana Iran kuwa na uwezo wa kujenga engine zA missile hasa ballistic missile
 
Sasa ndani ya miaka mitano ijayo Iran itakuwa na nuke ikiamua, na sasa wameona umuhimu wa kuwa nayo. Israel isiposhambulia vinu sasa itapata ugumu baadae.
Israel ikifanya hivyo Iran haitokaa kimya itajibu tena kwa nguvu kubwa zaidi, hapo itakuwa hatari mno
 
Back
Top Bottom