ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
Ona ulivyo mwehu kuna sehemu nimekwambia kua pale ni tel aviv?Hapo ni tel aviv? 😆au alkasus imekushika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona ulivyo mwehu kuna sehemu nimekwambia kua pale ni tel aviv?Hapo ni tel aviv? 😆au alkasus imekushika sana
Dogo ni mimi au Israel?Atafanya nini wewe dogo kwa Iran hicho kinchi chake Iran akipeleka Missiles 500 kwenye majumba ya TelavAviv kawamaliza.
Iran ni kubwa dogo Israel ni mtoto sana kwa Iran.
Usiongope mkuu,uongo haukufai.iran mpaka apigwe tafu na urusi china na north korea
Ulivyolewa chakari utaongeza nyingine au!Nitakufa ila kabla ya kifo changu lazima nishuhudie mema na makubwa ya Mwisrael tena kwa macho au kwa kusikia kama maandiko matakatifu yalivyoandika
Au siyoDuh! Taarifa zinasema makombora yanatua ndani ya Israel na kwamba iron dome imeelemewa.
Hahahaa shit about to get real.
Sasa ataweza kupigana na hao wote kwa mda mmoja?Ile serikali ya Netanyau imejaa wanasiasa wenye mrengo mkali wa kulia lazima watajibu, isitoshe hiki ndicho Netanyau alikuwa antamani kitokee yaani waingie kwenye mgogoro na Iran Ili kuitumbukiza na Marekani.
Kasome vzuri ile s300 ilichanguliwa vipiAlijibu wapi?
Uzuri Ayatollah ameshahifadhiwa ndani ya handaki sehemu salama hivyo ni ngumu kudhurika kama Israel na Marekani watalipiza.Kwenye Tv mbona madhara siyaoni? naangalia both Aljazeera na BBC sioni wakionesha madhara
Pale ni wapi we mbuzi wa khamenei 😆Ona ulivyo mwehu kuna sehemu nimekwambia kua pale ni tel aviv?
Matakoni kwa mama yakoPale ni wapi we mbuzi wa khamenei 😆
We nilishakuzoeaga mzee wa Roman empire kufufuka.Kweli wewe Maamuma wewe akili zako ndogo sana kama huelewi basi
kwani kuna dunia ipi na ipi ???Dunia ipi?
Too risky ila ndiko wanaelekea. Israel haina opportunity nyingine ya kukishambulia tofauti na sasa. Baada ya hizi vurugu miaka mitano ijayo sio Hezbollah wala Hamas itakuwa ishapata nguvu za kutosha na makamanda wazoefu wenye morali kufanya kitu. Na investment ya Iran kwa makundi inaweza isiendelee haileti matokeo mazuri bora iwekeze kwenye makombora zaidi yanatoa matokeo mazuri.Yaani washambulie kinu cha nyuklia?....too risky
North Korea na Iran wamewahi kukaa pamoja na kukubaliana na kushare nuclear technology pamoja na missile technology.wala North Korea haijawahi
Mawazo ya kuvua chupi yanashida sanaHuu ndo muda China inapaswa kuingia Taiwan na kuichukua.
Marekani hawezi kupigana vita Ukraine, Mashariki ya Kati, na huko China na Taiwan.
baba yakoKina nani
Mchezo haiwezi kuishia hapo lazima atajibu tu.Israel ubavu wa kuhit iran hana labda kwa msaada wa usa,tegemea tu ripoti itakayotoka hizo missile azijaleta madhara halafu mchezo uishie hapo
Nitaongeza ili nikukaze vizuriUlivyolewa chakari utaongeza nyingine au!
Israel ikifanya hivyo Iran haitokaa kimya itajibu tena kwa nguvu kubwa zaidi, hapo itakuwa hatari mnoSasa ndani ya miaka mitano ijayo Iran itakuwa na nuke ikiamua, na sasa wameona umuhimu wa kuwa nayo. Israel isiposhambulia vinu sasa itapata ugumu baadae.
View: https://youtu.be/-LYJ2h98eV4?si=qoXUlRWo0fckTS_w
80% Missiles zimepiga target yule fala Jordan kangusha zingine, huyu ndio kiongozi wa kiarabu wakutegemewa na warabu 😄 Huyo ndio anataka kuiona Israel iko strong kwa ajili ya kiti chake