RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kwenye handaki.K
Kasema akiwa wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye handaki.K
Kasema akiwa wapi ?
Uliwahi kuishi Ulaya au nchi yeyote iliyoendelea? Kama hujawahi kaa kimya, kwa taarifa Yako nchi zote zilizoendelea hata baadhi zinazoendelea kukiwa na dharura ving'ora vinalia kwenye mji husika iwe tetemeko, maboom, n.k.Hakuna professionism yoyote, Kabla makombora hayajafika Israel huwa kuna vingora vinalia watu wanakimbilia kwenye nyumba maalum za kujikinga na mabomu, Raia waliokufa ni kwa upande wa Palestina, Iran imeua mpalestina.
Pili, Makombora yaliyokuwa yanaelekea maeneo ya makazi ya watu mengi yamelipuliwa angani kwa mfumo wa Iron Dome, yaliyoachwa kwa maksudi yatue ni yale yanayoangukia sehemu za wazi zisizo na madhara ya milipuko
mbona mwaka huu huu mwezi wa 4 alirusha na hayakuleta madhara?Tusubiri Israel akirusha yake Iran atayapangua?
Una uhakika au ushabiki umekupofua?mbona mwaka huu huu mwezi wa 4 alirusha na hayakuleta madhara?
and 100 othersSuala siyo idadi ya Vichwa, cha muhimu ni ukubwa( destructive force capacity) na uwezo wa delivery system ya hizo ICBM to the intended targets. USA is far better on both .
Hayo madhara ya makombora ya iran unayatafuta ukiwa tel aviv au kinzudi goba?? We jamaa kama sio mhaya basi mnyakyusa , sijui unajikutaga naniKambini Israel huwa hamna crew? Mpaka sasa najaribu kutafuta madhara makubwa siyaoni ngoja tutarajie picha za satellites kwa hizi siku chache kama hata kesho hivi tuone.
Kinachowasumbua Israel na US plus Nato ni kwamba: Iran ni kichaa zaidi yao! Yaani Iran ni kama Kim Jong Un rais wa Korea kaskazini.Ngoja tusubiri japo sidhani kama itawezekana, endapo ikitokea nuclear facilities za Israel zitapigwa pia .
Wakiweza kumnasa huyu jamaa ndiyo utakuwa mwisho wa Iran...Ayatolah kayatimba hapo kifuatacho ni kisago kikali ubaya wa Israel anawalenga wale nyoka wenye vichwa vingi ndio anawarestisha in peace namuona Ayatolah akiwa mawingu mapema sana
Rest in peace AyatolahWakiweza kumnasa huyu jamaa ndiyo utakuwa mwisho wa Iran...
Maana ninahisi huyu raisi mpya hataki haya mambo ya mapigano... Ayatollah ndiyo mwenye Nguvu zaidi...
Huna ujualo fuatilia vyanzo vya habari madhara ni makubwa mno israel nako hakukaliki wananchi wanatokomea kusikojulikana, na Iran wamesema kama Israel watajibu shughuli ndio itakuwa kubwa mnooHivyo vi manati Ma ayatollah wanavirusha vinadakwa kama matango
Elon Musk anachofanya kwenye starlink ile ni military technology, ukishaweza kutengeneza rocket inayorusha satellite angani ni rahisi sana kuigeuza rocket hio na ku modify vichache badala ya kubeba satellite ikabeba warhead yenye nuclear n.kSuala siyo idadi ya Vichwa, cha muhimu ni ukubwa( destructive force capacity) na uwezo wa delivery system ya hizo ICBM to the intended targets. USA is far better on both .
Wamekiri mabwana zako madhara ni makubwa na watalipa kisasi wananchi wa israel wanatokomea kusikojulikanaUtashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Mayahudi ndio wana asili ya kuleta fujo ulimwenguni lakini wanapata exactly kile wanachokitafuta, wamepigwa kwenye mshono jana maamae zaohawa jamaa wanataka kuchafua hali ya Amani duniani
wapi nimesema Niko kidini. Nyie watu mko gazani sana. Biblia ni Neno la Mungu na linahusu watu wote. Watu wote! Na Mungu husema na watu kupitia Neno lake. Kuikataa Biblia, ni ukaidi tu. matokeo yake mtayapata soon!Kwa hiyo ndugu wewe uko kidini zaidi?
Hudhani unaweza kuwa peke yako duniani?
Ndege za kivita za Marekani zinajiandaa.... kushambulia
Ewaaaa! Safi kabisa mwalimu!Elon Musk anachofanya kwenye starlink ile ni military technology, ukishaweza kutengeneza rocket inayorusha satellite angani ni rahisi sana kuigeuza rocket hio na ku modify vichache badala ya kubeba satellite ikabeba warhead yenye nuclear n.k
Hivyo US national security wanaangalia kwa ukaribu mienendo yote ya Musk, cause ile ni military technology, kwa ajili ya usalama wa taifa.
Soviet ndio wa kwanza kabisa kurusha satellite angani 1958 kabla ya US, Soviet ndio wa kwanza pia kuanzisha ISS(International Space Station) ile maabara inayo elea angani. Baadae wakaunga nguvu mataifa mengine.
Kwenye ICBM na hizo rocket science Russia yupo vizuri sana sana.
Kuna miaka flani 2001/2002 Musk alikwenda hadi Russia kutafuta msaada apate hata refurbished intercontinental ballistic missile ili wa launch kwenye Mars, yule designer wa rockets wa kirusi akatemea mate viatu vya Musk, hapo Musk akakasirika na ikawa inspirational kwake na kuanza ku compete na Russia kutengeneza Rockets.. kwa kampuni yake ya SpaceX dhidi ya Russia Soyuz rocket..
Unapozungumzia rocket tech Russia huwezi kui underrate mbele ya US... Wala hupaswi kuwashindanisha, wote sio wanyonge kwenye hayo mambo.
Ni kweli Russia ana ICBM nyingi zaidi za nuclear kuliko USA.
Hammaz
Chumbani kwakoK
Kasema akiwa wapi ?
Biblia sio kitabu cha kidini. Biblia ni Neno la Mungu lililoandikwa na Roho wa Mungu. Na Biblia inawahusu watu wote (pamoja na wewe)
Kwani makombora ameanza kurusha nani mpaka atafutwe yeye tangu april? we kichwani kumbe 🤣Hapa anayetafutwa ni Iran na wameplan hivyo kwa muda mrefu ,ila sidhani pia kama watapata urahisi kama wanavyodhani ,hii vita haitakuwa nyepesi kiivyo