Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Hakuna professionism yoyote, Kabla makombora hayajafika Israel huwa kuna vingora vinalia watu wanakimbilia kwenye nyumba maalum za kujikinga na mabomu, Raia waliokufa ni kwa upande wa Palestina, Iran imeua mpalestina.

Pili, Makombora yaliyokuwa yanaelekea maeneo ya makazi ya watu mengi yamelipuliwa angani kwa mfumo wa Iron Dome, yaliyoachwa kwa maksudi yatue ni yale yanayoangukia sehemu za wazi zisizo na madhara ya milipuko
Uliwahi kuishi Ulaya au nchi yeyote iliyoendelea? Kama hujawahi kaa kimya, kwa taarifa Yako nchi zote zilizoendelea hata baadhi zinazoendelea kukiwa na dharura ving'ora vinalia kwenye mji husika iwe tetemeko, maboom, n.k.

Israel mahandaki yanauwezo wa kuweka raia million Moja TU. Je hao wengine walienda wapi? Usiwe unaropoka TU jifunze kabla ya kusema
 
Kambini Israel huwa hamna crew? Mpaka sasa najaribu kutafuta madhara makubwa siyaoni ngoja tutarajie picha za satellites kwa hizi siku chache kama hata kesho hivi tuone.
Hayo madhara ya makombora ya iran unayatafuta ukiwa tel aviv au kinzudi goba?? We jamaa kama sio mhaya basi mnyakyusa , sijui unajikutaga nani
 
Ayatolah kayatimba hapo kifuatacho ni kisago kikali ubaya wa Israel anawalenga wale nyoka wenye vichwa vingi ndio anawarestisha in peace namuona Ayatolah akiwa mawingu mapema sana
Wakiweza kumnasa huyu jamaa ndiyo utakuwa mwisho wa Iran...
Maana ninahisi huyu raisi mpya hataki haya mambo ya mapigano... Ayatollah ndiyo mwenye Nguvu zaidi...
 
Hivyo vi manati Ma ayatollah wanavirusha vinadakwa kama matango
Huna ujualo fuatilia vyanzo vya habari madhara ni makubwa mno israel nako hakukaliki wananchi wanatokomea kusikojulikana, na Iran wamesema kama Israel watajibu shughuli ndio itakuwa kubwa mnoo
 
Suala siyo idadi ya Vichwa, cha muhimu ni ukubwa( destructive force capacity) na uwezo wa delivery system ya hizo ICBM to the intended targets. USA is far better on both .
Elon Musk anachofanya kwenye starlink ile ni military technology, ukishaweza kutengeneza rocket inayorusha satellite angani ni rahisi sana kuigeuza rocket hio na ku modify vichache badala ya kubeba satellite ikabeba warhead yenye nuclear n.k

Hivyo US national security wanaangalia kwa ukaribu mienendo yote ya Musk, cause ile ni military technology, kwa ajili ya usalama wa taifa.

Soviet ndio wa kwanza kabisa kurusha satellite angani 1958 kabla ya US, Soviet ndio wa kwanza pia kuanzisha ISS(International Space Station) ile maabara inayo elea angani. Baadae wakaunga nguvu mataifa mengine.

Kwenye ICBM na hizo rocket science Russia yupo vizuri sana sana.

Kuna miaka flani 2001/2002 Musk alikwenda hadi Russia kutafuta msaada apate hata refurbished intercontinental ballistic missile ili wa launch kwenye Mars, yule designer wa rockets wa kirusi akatemea mate viatu vya Musk, hapo Musk akakasirika na ikawa inspirational kwake na kuanza ku compete na Russia kutengeneza Rockets.. kwa kampuni yake ya SpaceX dhidi ya Russia Soyuz rocket..

Unapozungumzia rocket tech Russia huwezi kui underrate mbele ya US... Wala hupaswi kuwashindanisha, wote sio wanyonge kwenye hayo mambo.
Ni kweli Russia ana ICBM nyingi zaidi za nuclear kuliko USA.

Hammaz
 
Kwa hiyo ndugu wewe uko kidini zaidi?

Hudhani unaweza kuwa peke yako duniani?
wapi nimesema Niko kidini. Nyie watu mko gazani sana. Biblia ni Neno la Mungu na linahusu watu wote. Watu wote! Na Mungu husema na watu kupitia Neno lake. Kuikataa Biblia, ni ukaidi tu. matokeo yake mtayapata soon!

kuna mtu anadhani uKristo ni dini. UKRISTO SIO DINI NDUGU ZANGUNI.
 
Elon Musk anachofanya kwenye starlink ile ni military technology, ukishaweza kutengeneza rocket inayorusha satellite angani ni rahisi sana kuigeuza rocket hio na ku modify vichache badala ya kubeba satellite ikabeba warhead yenye nuclear n.k

Hivyo US national security wanaangalia kwa ukaribu mienendo yote ya Musk, cause ile ni military technology, kwa ajili ya usalama wa taifa.

Soviet ndio wa kwanza kabisa kurusha satellite angani 1958 kabla ya US, Soviet ndio wa kwanza pia kuanzisha ISS(International Space Station) ile maabara inayo elea angani. Baadae wakaunga nguvu mataifa mengine.

Kwenye ICBM na hizo rocket science Russia yupo vizuri sana sana.

Kuna miaka flani 2001/2002 Musk alikwenda hadi Russia kutafuta msaada apate hata refurbished intercontinental ballistic missile ili wa launch kwenye Mars, yule designer wa rockets wa kirusi akatemea mate viatu vya Musk, hapo Musk akakasirika na ikawa inspirational kwake na kuanza ku compete na Russia kutengeneza Rockets.. kwa kampuni yake ya SpaceX dhidi ya Russia Soyuz rocket..

Unapozungumzia rocket tech Russia huwezi kui underrate mbele ya US... Wala hupaswi kuwashindanisha, wote sio wanyonge kwenye hayo mambo.
Ni kweli Russia ana ICBM nyingi zaidi za nuclear kuliko USA.

Hammaz
Ewaaaa! Safi kabisa mwalimu!

Umeifafanua kwa lugha nyepesi na kiustadi kabisa!

Ngoja nimwangalie mwanafunzi kama ameelewa au bado? Na uzuri wewe ni kiwanda cha tiba. Asipoelewa utambadilishia tiba nyengine.

Tiba isipomuingia tena basi tutathibitisha huyu mwanafunzi ni typical zombie character, no other way to describe it (kama Bw. Mathanzua anavyosema).
 
wapi nimesema Niko kidini

Kumbe huyu si wewe?

IMG_20241002_102059.jpg
 
Back
Top Bottom