gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Haishii leo tu,na wametungua f-16 moja na f-35 mbili,rubani demu wanae,kwa sheria ya kiislam mateka wa vita hatolewi mahari,unatia tuWanarusha mengine. Hawa jamaa Leo watarusha makombora 500 π
BREAKING: Iran has launched a third wave of ballistic missiles towards Israel
Source ya masjd uchira πππWe umia tu
Jipe moyoSource ya masjd uchira πππ
Hawalali wiki yote hiiIsrael anapewa dozi ya kufa mtu aisee usiku huu hapatoshi
IDF imekanusha. Hakuna ndege iliyotunguliwa zaidi wameshambulia tena site nyingine ya nyuklia IstafhanHaishii leo tu,na wametungua f-16 moja na f-35 mbili,rubani demu wanae,kwa sheria ya kiislam mateka wa vita hatolewi mahari,unatia tu
Ndo maana marekani ilijitoaHawalali wiki yote hii
Ndugu yangu hujaachaga kamba tu, picha uliyoleta ni shambulizi ambalo Israel ilifanya Lebanon March 22.Ni kipigo kizito
Jipe moyo
Sio picha ya leo ila Israeli ana pigika vibaya mnoNdugu yangu hujaachaga kamba tu, picha uliyoleta ni shambulizi ambalo
Israel ilifanya Lebanon March 22.sio