Iran yarusha makombora ya masafa marefu kwenda Israel muda huu

Kama wamechapwa tuleteeni hizo video tuzione.
Unasubiri video mkuu wakati BBC, Al Jazeera, CNN nakadhalika wapo live na wanaonesha vyuma vinavyo hit Tel Aviv.

Idara ya zimamoto ya Israel wanasema wamezidiwa na milipuko ya moto mkubwa maeneo mengi.

Wizara ya afya ya Israel wamesema kufikia sasa watu 21 wamejuhiwa vibaya.

Na hiyo ni athari ya first phase tu ya makombora maana zimetumwa phase tatu kufikia sasa.
 
Yatadakwa yote.
Huna hata Tv ya mkopo ukaangalia kuliko kujiaibisha kama hivi?

Makombora yametua Tel Aviv na mji unawaka moto wewe unasema yatadakwa makombora yote😆.

Majeruhi kibao na wizara ya ulinzi ya Israel imeshambuliwa.

Acha kupenda kusimuliwa nunua tv uwe unaangalia vitu mubashara kabisa.
 
Iran alikamatwa Kwenye counter attack ikabidi alinde goli kwanza kafight mno for 15 hrs akipangua drone, ballistic za muhimu tu.saivi yuko Kwenye defence mode na anashambulia vile vile hivyo tutegemee saivi shambulio kuzimwa vizuri tu, amazing performance yaan kongole Kwa irgc


🇮🇷☄️ | Iranian media: Everything is available to us, and closing the Strait of Hormuz is on the table

🟡 @NEWWORLDORDYR
 
🇮🇷 | Breaking — IRGC Statement:

In Operation True Promise-3, we targeted military centers and air bases that served as the launch points for the criminal attack against our country, as well as military-industrial sites used by the Zionist regime’s army for missile production and related purposes.

Field reports, satellite imagery, and intelligence confirm that dozens of ballistic missiles successfully struck their intended strategic targets.

Despite Israel’s claims of interception, it failed to repel the successive waves of missile attacks launched by our forces.

🔹@enemywatch
 
Safi sana
 
Muulize Netanyau masaa? Leo hakuna Hata drone Moja iliyorushwa ni vinu TU daadeki,..
Ndio uzuri wa movie ngoja tuendelee kuangali, nani ataomba cease fire ya kwanza.

Naamini this time wanawake na watoto wameambiwa wakae mbali vita hii, sitegemei kusikia wameuwa wanawake na watoto kabisa.
 
Na bado mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Israel imeshindwa kuyanasa hadi yamewasha moto mji mzima wa Tel Aviv.

Angalia Tel Aviv inavyochakazwa na makombora usisubiri kuhadithiwa utadanganywa.
Sina satelite kuona live, nasubiri wadau mtuletee update nini kimejiri.
 
Wala usiende mbali.

Mimi sina chemistry na magaidi.

Kuna sehemu nimeona mtu ameku dispute kwenye madai yako kuwa makombora mengi yamepiga target

Alikuja na references inayoonesha moja tu ndio lililolleta madhara.

Kwasababu naifahamu vyema background yako ndio maana niko hapa kudai hizo video nizione.
 
Asante Yesu
 

Kaka nimekupatia namba ya simu na Email ya Netanyahu nakuomba umpigie umuulize mangapi wamepangua na mangapi yamewachapa.

+972 2 670 5555
+972 3 610 9898


Au mtumie email:
pm_eng@pmo.gov.il
bnetanyahu@knesset.gov.il

NB: Kaka kuanza kuongelea background yangu unakuwa unaikosea heshima JF. Maana hujui hata sumuni ya Background yangu.

Dunia yote inajua wayahudi na ninyi wayahudi weusi mnaongea uongo na ni waoga sana, ndio maana mlimuua Yesu.

ASANTE
 
Breaking news: Iran just launched long range missiles to Israel.. lakini cha ajabu, moja limegeuka kurudi home mid air like, “Nimechanganyikiwa boss!” 🤯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…