Iran yarusha makombora ya masafa marefu kwenda Israel muda huu

Background yako sio lazima iwe nje ya JF kwa maana ya real life.

Background yako ni nyenzo muhimu ya kuzingatia linapokuja kwenye hizi mbanga.

Uliwahi kuipa sifa Iran ambazo haikustahili sijui unakumbuka?

Kwa hiyo tangu siku ile nikaona umuhimu wa kuhakiki baadhi ya taarifa zako kwenye maswala yeyote yanayoihusu Iran.

Sasa napoona unaweka madai bila ushahidi halafu mwingine anakuja kukupinga kupitia references najua umerudi kule kule kwenye ushabiki.
 
Kaka, kuanza kunijadili mimi ni tabia ya watu wenye akili 20%. Muda wote huo wa kunijadili mimi ungempigia Netanyahu tayari ungekuwa umepata majibu. Kwikwikwikwi

Pili hujui Geopolitics ndio maana umechagua fungu la kukosa. Sina mengi ya kukufundisha leo, lakini nakuomba chonde chonde mpigie Muyahudi mwenzio namba za simu na emails nimekupatia
 
IDF imekanusha. Hakuna ndege iliyotunguliwa zaidi wameshambulia tena site nyingine ya nyuklia Istafhan
Shambulizi limezuikiwa na ndege imedunguliwa.
Iran ilisha restore Air defense system pole yao.
Na hiyo taarifa BBC correspondent ndio wametoa
 
We kweli taahira!

Shambulio limeua wakuu wa jeshi la nchi alafu unaita kashambulio?..
Nahisi utakua hujamuelewa alichomaanisha ama una uelewa finyu.
Alichomaanisha ni kuwa Israel ilidai kwamba imetumia mwaka kupanga shambulio la leo dhidi ya Iran,na ilidai imemaliza silaha zote za Iran na Iran Haina uwezo wa kujitetea tena.
Cha ajabu Iran imeiwashia moto Israel siku hiyo hiyo.
Aya swali la kuuliza,hayo madai ya kuwa makombora yaliteketezwa ilikuaje ilhali Iran ameshambulia kwa makombora hayo hayo.?
 
We strait of Hormuz inafungwa??
 
Mkuu huwezi kukwepa kujadiliwa.

Kama ulijiunga JF ukiwa na mategemeo kuwa utakuwa untouched basi ulikosea.

Na wala usijipe hiyo title ya kujiona labda wewe ni special sana usiestahili kujadiliwa.

Humu tunajadili watu&vitu. Hata Mungu pia tunamjadili na watu tunampinga na maisha yanaendelea.

Kukumbushwa kidogo tu kuhusu tabia yako ya kupika data ndio uanze kudai kuwa nakujadili?

Mkuu hatuwezi kwenda namna hiyo.
 
On target ni ngapi mpaka sasa?

Kumbuka huko juu kuna mdau aliweka source inayoonesha on target ni moja.

So inawezekana hii screenshot ndio ileoja aliyoisema mwamba humu.

Au unazo nyingine?
Hapo nimeweka picha za sehemu 2 tofauti.
Milipuko ni mingi brotheee.
Nenda BBC na CBS news utaoneshwa majengo yalivyoharibika na kuungua.
Pia hadi sasa inasemekana Kuna majeruhi 40 Tel Aviv.
Wawili wakiwa mahututi.
 
Hapo nimeweka picha za sehemu 2 tofauti.
Milipuko ni mingi brotheee.
Nenda BBC na CBS news utaoneshwa majengo yalivyoharibika na kuungua.
Pia hadi sasa inasemekana Kuna majeruhi 40 Tel Aviv.
Wawili wakiwa mahututi.
Wakati huo makombora yaliyorushwa ni mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…