Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Tangu zama za Mahmoud Ahmadinejad Iran imechezea vikwazo miaka na miaka. Wamejaribu sana kuidhoofisha hii nchi kiuchumi but they're still firm and strong.

I oppose war, inaumiza sana watu wa kawaida, wasio na sauti wala nguvu na kwa hili Israel na USA ni wachokozi sana.
 
Nilichogundua JF kuna maskhara mengi sana, unaweza ukakutana na taarifa humu lakini usikutane nazo pengine popote pale kwenye maistream.
But anyways, ni vita yao kivyao sisi tuna ya kwetu huko mpaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…