Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

Hiyo haindoi ukweli kua mwezi April yahudi kapigwa na juzi kapigwa tena na akapewa na onyo kali mpaka wafuasi mnaharishiana
Onyo Kali wakiwa wamejificha nyuma ya wakina mama hahahaha aisee kobazi waoga wa kifo toa onyo ukiwa upo wazi sio unatoa onyo ukiwa nyuma ya kina mama na watoto kisa kuogopa kifo hamna kitu hapo Israel wanaogopeka milele 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Onyo Kali wakiwa wamejificha nyuma ya wakina mama hahahaha aisee kobazi waoga wa kifo toa onyo ukiwa upo wazi sio unatoa onyo ukiwa nyuma ya kina mama na watoto kisa kumuogopa netanyahu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Onyo lilitolewa tena na mwanaume akiwa hadharani na akiwa live media zote zina onesha alipo siku ya ijumaa na bado mabwana zako wamesanda we huogopi.
 
Onyo lilitolewa tena na mwanaume akiwa hadharani na akiwa live media zote zina onesha alipo siku ya ijumaa na bado mabwana zako wamesanda we huogopi.
Hao sio wanaume ni mashoga mwanaume hawezi kujificha Kwa kina mama na watoto wanaume wapo Israel wanakufa kiume vitani hao wengine ni mabinti ambao wanaogopa kifo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sema iran aja fanya vizuri kaya chapa mashoga kwa kushtukiza yamekosa pa kuficha aibu
 
Intelejensia Gani wewe hao waoga wa kifo tunawajua wazee wa kuanzisha ugomvi halafu wanakimbilia kujificha nyuma ya kina mama na watoto Ili wasife Sasa safari hii wamekutana na mtu mbad netanyahu yeye anafumua hapo hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iran angekuwa na akili kama zako hata Drone angeshindwa kutengeneza, Iran ni nchi ambayo imeishambulia Israel mara mbili ndani ya miezi 6, sasa huo uoga unao sema wewe upi?
 
Iran angekuwa na akili kama zako hata Drone angeshindwa kutengeneza, Iran ni nchi ambayo imeishambulia Israel mara mbili ndani ya miezi 6, sasa huo uoga unao sema wewe upi?
Wapi wewe hao wanakimbilia kujificha nyuma ya kina mama hamna wanajeshi hapo ni mashoga tu yaani wanaanzisha ugomvi halafu wanakimbilia kujificha nyuma ya kina mama na watoto hamna kitu hapo waoga wa kifo hao Sasa mbinu ni kupiga hapo hapo maana hao kina mama wanawaficha hao mashoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ayatollaah pressure 300 na yuko kajificha kwenye handaki maana anajua kabisa Myahudi hawezi mkosa hata iweje
Juzi alikuwa live kahutubia Dunia NDANI ya masaa 2 non Stop mwamba alishududiwa akiwa katika umati WA watu zaidi ya million 2

Dunia nzima walikuwa On Stream live all platform.

YouTube,X, zamani Twitter zilikua Up down.
 
Jamaa wanaweweseka balaa!

Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la Iran, likinukuu msemaji wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran.

Taarifa kwa marubani, au NOTAM, iliyotumwa na mamlaka za Iran inathibitisha kufungwa huku, isipokuwa kwa "ndege za dharura, ndege za kubeba abiria bila mizigo, na ndege za serikali."
======================

Flights from all Iran’s airports have been canceled from 9 p.m. today until 6 a.m. tomorrow local time, Iran’s Mehr news agency says, citing a spokesperson for Iran’s Civil Aviation Organization.

A notice to pilots, or NOTAM, sent out by Iranian authorities confirms the closure, while carving out exceptions for “emergency flight, ferry flights and state aircraft.”

Another state-run outlet, IRNA, cites “operational restrictions” for the closure, which may relate to an expected Israeli counterattack following an Iranian missile assault last week.

Soma Pia: Shambulio kubwa la makombora ya Iran liliharibu kituo cha ndege za kivita za F-35 cha Nevatim nchini Israel

Kumbe Israel ilipofunga anga yake ilikuwa inaweweseka?

Shukurani kwa taarifa.
 
Juzi alikuwa live kahutubia Dunia NDANI ya masaa 2 non Stop mwamba alishududiwa akiwa katika umati WA watu zaidi ya million 2

Dunia nzima walikuwa On Stream live all platform.

YouTube,X, zamani Twitter zilikua Up down.
Mwamba anajificha pangoni
 
Wapi wewe hao wanakimbilia kujificha nyuma ya kina mama hamna wanajeshi hapo ni mashoga tu yaani wanaanzisha ugomvi halafu wanakimbilia kujificha nyuma ya kina mama na watoto hamna kitu hapo waoga wa kifo hao Sasa mbinu ni kupiga hapo hapo maana hao kina mama wanawaficha hao mashoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna alie wakataza wapige sasa sio kubekwa kama Mbwa koko, haya sasa baadhi ya viwanja vinapiga kazi vipi unalo la kuongeza?
 
Back
Top Bottom