Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa.
Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases kadhaa na kuleta madhara madogo, na kwamba assessment ya uharibifu ilikuwa inafanyika.
Usiku huu Iran imetangaza kuwepo ongezeko la askari waliouawa kutoka askari 2 mpaka askari 4.
Tofauti na asubuhi Iran iliposema kuwa shambulio hilo lilikuwa na madhara madogo, baada ya assessment, sasa shambulio hilo la Israel wanaliita "deadly attack"
Mpaka sasa:
Iran imethibisha:
1) askari wake 4 wameuawa
2) Radar zake zimefeketezwa
3) Kiwanda cha makombora kimetekezwa
4) Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Vita siku zote haikosi madhara. Kwa familia za hawa askari 4, ni maafa makubwa ambayo kamwe hawatakuja kuyasahau. Tuwaombee hekima watawala wa Iran, Iran iyafute makundi yake ya kigaidi ili waarabu na waisrael siku moja waishi kwa amani. Maafa yote ya mashariki ya kati, chanzo kikuu ni Iran.
Habari kamili hii hapa:
Al Jazeera
LIVE UPDATESLIVE UPDATES,
"The US says this should be the end
14m ago
(17:20 GMT)
Iran has raised the death toll from Israel’s attack to four and said all served in the country’s military air defence.
The state-run IRNA news agency announced the deaths Saturday night. It offered no details on where the four men were stationed in the country.

Live: Iran says ‘no limits’ in defending itself after deadly Israel strikes
"The US says this should be the end
Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
14m ago
(17:20 GMT)
Iran raises death toll from Israel’s attack to 4