Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

Ndiyo maana sahizi ile lugha ya kusema shambuluo limeleta madhara madogo, hawasemi tena. Watu wamekufa, eti ni madhara madogo!! Au huko Iran, uhai wa binadamu hauna thamani?
Askari wa 4 kwenye laki tano ni asilimia ngapi? wenyewe wayahudi wamenuna

90A55FBA-6FBA-4E2D-ABC4-5950C5B340D4.png
 
Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa.

Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases kadhaa na kuleta madhara madogo, na kwamba assessment ya uharibifu ilikuwa inafanyika.

Usiku huu Iran imetangaza kuwepo ongezeko la askari waliouawa kutoka askari 2 mpaka askari 4.
Tofauti na asubuhi Iran iliposema kuwa shambulio hilo lilikuwa na madhara madogo, baada ya assessment, sasa shambulio hilo la Israel wanaliita "deadly attack"

Mpaka sasa:

Iran imethibisha:
1) askari wake 4 wameuawa
2) Radar zake zimefeketezwa
3) Kiwanda cha makombora kimetekezwa
4) Kiwanda cha drones kimeteketezwa

Vita siku zote haikosi madhara. Kwa familia za hawa askari 4, ni maafa makubwa ambayo kamwe hawatakuja kuyasahau. Tuwaombee hekima watawala wa Iran, Iran iyafute makundi yake ya kigaidi ili waarabu na waisrael siku moja waishi kwa amani. Maafa yote ya mashariki ya kati, chanzo kikuu ni Iran.

Habari kamili hii hapa:

Al Jazeera
LIVE UPDATESLIVE UPDATES,

Live: Iran says ‘no limits’ in defending itself after deadly Israel strikes​


"The US says this should be the end

Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes​


14m ago
(17:20 GMT)

Iran raises death toll from Israel’s attack to 4​


Iran has raised the death toll from Israel’s attack to four and said all served in the country’s military air defence.
The state-run IRNA news agency announced the deaths Saturday night. It offered no details on where the four men were stationed in the country.
Uongo. Hizi ni media za magharibi
 
Labda ndiyo madhara ambayo Iran imeyaita ni madogo!!

Kuna watu humu wanahemka na kusema uwongo kuwa etimakombora yote yalidunguliwa, wakatiIran imekiri kuwa baadhi ya bases zake zimepigwa licha ya mifumo yake ya anga kufanya kazi vizuri.

Israel inaonekana ilichokuwa imekusudia ni kuitahadharisha Iran, na kuipunguzia uwezo Iran wa kusaidia makundi ya kigaidi. Baada ya kushambulia, Israel imetoa onyo kwa Iran kuwa isithubutu kujibu shambulio!! Ikijibu, sijui itaifanya nini!!
Bora ni yupi anaesema ukweli au anayedanganya halafu kila uchao israel kuna vilio wanajeshi wao wanazikwa kimya kimya!
 
Israel hamna kitu, propaganda nyingi. Walisema wana iron dome network ya kuharibu makombora yeyote yanayoshambulia ardhi yake. Wa Persian wamerusha ballistic 180 na zote zimetua.
Israel wanachojua ni kuua raia wa Palestina wasio na hatia, kupiga miskiti, makanisa, hospitali na mashule bila kusahau mahema ya wapalestina. Mnaowashabikia ni kwa sababu ya dini yenu mnaowaita "taifa teule" wakati wenyewe hawaamini hata hiyo dini yenu, wala kitabu chenu.
Wapigane na wanaume kina Hoothi, hizbollah, na wababe iran, Syria.
 
Tar
Labda ndiyo madhara ambayo Iran imeyaita ni madogo!!

Kuna watu humu wanahemka na kusema uwongo kuwa etimakombora yote yalidunguliwa, wakatiIran imekiri kuwa baadhi ya bases zake zimepigwa licha ya mifumo yake ya anga kufanya kazi vizuri.

Israel inaonekana ilichokuwa imekusudia ni kuitahadharisha Iran, na kuipunguzia uwezo Iran wa kusaidia makundi ya kigaidi. Baada ya kushambulia, Israel imetoa onyo kwa Iran kuwa isithubutu kujibu shambulio!! Ikijibu, sijui itaifanya nini!!
Pricise targets
 
Bora ni yupi anaesema ukweli au anayedanganya halafu kila uchao israel kuna vilio wanajeshi wao wanazikwa kimya kimya!
Hizi stori mnazodanganyana misikitini ili kujifariji hiyo israel ingekuwa inawazika hao wanajeshi si wangeisha na ingeshindwa kupigana yaani huoni uwongo magaidi wenu wakidini wanapotangaza vifo vya magaidi kama vya wanawake na watoto ili kutafuta huruma sijaona magaidi wakitangaza magaidi wao wameuawa
 
Israel Hana kazimbovu daadeck...piga hao vibaraka ishia mpaka washike adabu!!
 
Hawa Israel ni nyoko sana ktk mashambulizi ya angani. Juzi Waziri wa ulinzi wa Israel kabla ya mashambulizi alisema tutakapo ishambulia Irani Dunia itajua uwezo wetu na wote wanao cheza na usalama wa Israel. Leo jamaa wametumia ndege za kivita ambazo ni za kisasa sana zenye uwezo wa kushambulia anga la nchi nyingine na kujihami zishishambuliwe. Cha kufurahisha zaidi Israel inasema imepiga miundombinu ya usalama wa anga la Irani na pia kushambulia maeneo ya kijeshi ya Irani. Pia wakasema baada ya kushambulia kwa ndege zao zote zimerudi nyumbani salama. Yaani mfumo wa ulinzi wa Irani umeshindwa kudungua hta ndege moja tuu ya Israel. Na pia wamesema kwa uharibifu walio fanya ktk mfumo wa ulinzi wa anga wa Irani sasa wanaweza kucheza na anga ya Irani wapendavyo kupiga popote.
 
Israel kama kweli angekua anataka amani alitakiwa kua wakwanza kuhakikisha kule west bank mambo safi, haya maeneo mengine yangekaa sawa mdogo mdogo
West Bank mambo yalikuwa safi wakati PLO ilipokuwa inatawala eneo lote. Fikiria hata yale maghorofa yote walimokuwa wakiishi wapalestina yalijengwa na Serikali ya Israel , mpaka ofisi za serikali ya Mamlaka ya Palestina,zilijengwa na Serikali ya Israel. Wakati huo lengo lilikuwa kuelekea kwenye serikali kamili na kiundwa kwa nchi ya Palestina. Mambo yaliharibika Iran ilipoanzisha kundi la kigaidi la Hamas, wakaanza kujilipua ndani ya Israel na kuwaua Wayahudi. Hapo sheria na taratibu kali za udhibiti dhidi ya Palestina zikawekwa, uzio wa kuwatenga Wapalestina ukajengwa, na uhuru wa wapalestina kuingia ndani ya maeneo ya wayahudi ukapunguzwa sana, na uhasama baina yao ukaanza kujengeka.
 
Hit target only na siyo kumwaga mabomu kama walivyo fanya wao kijinga kabisa.

Kweli kabisa mchezo huu hautaki hasira au mihemuko ya vurumisha makombora bila mkakati.

Israel imeonesha utulivu kwa kulenga maeneo nyeti kupeleka ujumbe kuwa kila pigo watakalofanya Israel siyo la kuvurumisha makombora ovyo, bali kupiga maeneo nyeti kwa uhakika...

Sasa majibu mengine ya Israel yatakayofuata yatalenga wapi, nani na kwa shabaha ya kufikia lengo lipi ki military science bila kuongozwa na hasira kali, bali mipango na uhakikisho wa kukamilisha pigo sahihi la kumuumiza adui likionesha, pigo lingine litalofauta litafikia malengo ya kumlegeza adui zaidi.
 
Mnaowashabikia ni kwa sababu ya dini yenu mnaowaita "taifa teule" wakati wenyewe hawaamini hata hiyo dini yenu, wala kitabu chenu.
Wao wenyewe wayahudi wanajiita Taifa teule na sisi wakristo tunawaita hivyo

Sisi wakristo ni wafuasi wa Myahudi Yesu Kristo myahudi mwenzao

Dini ya kiyahudi tofauti na waislamu huwa hawatafuti waumini kuwasilimisha .Kuwa dini ya kiyahudi lazima uwe umezaliwa myahudi.Hivyo wakristo na wayahudi tunaheshimiana mno pamoja na tofauti zetu za kidini.Tofauti na wapumbavu wa kiislamu ambao ukiwa tofauti na dini yake kwake ni kesi

Wayahudi sio wajinga kama waislamu kupigania dini.Myahudi hata siku moja hapiganii dini wala wakristo hatupiganii dini huo ujinga wa kupigania dini wanao waislamu tu.Ndio maana hata Palestina hakutulii mijitu kutwa kupigania dini
 
Wakuoneshe wewe tu au mimi ndio sijaelewa?? Hata kama wewe ni Muslim jitahidi kuficha ujinga wako unatia kinyaa
Kinyaa unatia wewe kijana, nimeandika WAONYESHE hiko kiwanda wanachosema wamekilipua kitachukua miaka 2 kurudi tena kufanya kazi, hii ni vita propaganda ni nyingi sana, ni mbumbumbu pekee anaweza kuamini jambo kibubusa
 
Back
Top Bottom