Israel hamna kitu, propaganda nyingi. Walisema wana iron dome network ya kuharibu makombora yeyote yanayoshambulia ardhi yake. Wa Persian wamerusha ballistic 180 na zote zimetua.
Israel wanachojua ni kuua raia wa Palestina wasio na hatia, kupiga miskiti, makanisa, hospitali na mashule bila kusahau mahema ya wapalestina. Mnaowashabikia ni kwa sababu ya dini yenu mnaowaita "taifa teule" wakati wenyewe hawaamini hata hiyo dini yenu, wala kitabu chenu.
Wapigane na wanaume kina Hoothi, hizbollah, na wababe iran, Syria.
Hapa hazipigani dini. Wewe kama akili yako imenyakuliwa na udini, ni wewe na wenzako wachache.
Hakuna anayeiunga mkono au kuilaani Israel kwa sababu ya dini, labda wasio na akili.
Afrika Kusini ni nchi iloyojaa wakristo lakini ipo bitter na waisrael. Russia ni nchi iliyojaa wakristo lakini wanaiunga mkono Iran.
Wakristo wote wanaamini Wayahudi ndio waliomsulubisha Yesu masiha. Na hata kama Wayahudi wangekuwa Wakristo, bado isingekuwa kigezo ya kuwaunga mkono au kuwakataa. Mbona Tanzania ilipigana na Uganda, wakati proportion ya wakristo kwa waislam kwenye nchi zote ni karibu sawa.
In Iganda, according to the 2014 census, over 84 percent of the population was
Christian, while about 14 percent of the population adhered to Islam.
According to the 2014 census, over 84 percent of the population was
Christian, while about 14 percent of the population adhered to Islam.
Tanzania is a Christian majority nation, with Islam being the largest minority faith in the country. According to a 2020 estimate by Pew research center, Muslims represent 34.1%.
Kuyageuza mapigano yenye sababu mbalimbali, kuwa ni sababu za kidini, ni kuishiwa hoja.
Iran ilipigana na Iraq, wakati nchi zote population kubwa ni waislam.