Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

IDF walikua wanaweza kuikamata Gaza kwa dakika tu km wangetaka maana wangepiga mabomu tu kaneneo kenyewe kadogo sema walikua hawataki kuua raia wema.Km wangeamua panuje dakika kadhaa tu ngome ingekua kokoto tu.
 
Mm nashangaa km kweli wanasema albadili inafanya kazi wapige dua tu islaeri iwake moto yaan waislam wote waisomee albadili israeli.
 
Vita hawakurupuki kama unavyofikiri!
Kuna vitu kadhaa huwa vinafanyika ambavyo mtu wa kawaida unaweza kusema wanapoteza muda oh wanaogopa. Kumbuka unapopigana na adui mmoja unayemfahamu ndio mwanzo wa kuwajua wale usiokuwa unawafahamu.
Na ukitaka ujue mengi we minya vizuri adui yako atakwambia mengi usiyoyajua.
Usikimbilie kuua kuna mengi utayakosa.
Israel wana mminya HAMAS mdogo mdogo ili alopoke yote. Kisha akimmaliza atakuwa anawajua waliobaki.
 
Mkuu unafikiri watu wanaoongozwa Moja kwa Moja na Shetani watafanya maamuzi ya busara??!! Na hichi ndiyo kinachowakuta Hamas na Mujahideen wote Duniani. Quran yao yenyewe ktk Sahih Al-Bukhari 4950 Shangazi wa Mtume Mohammad alipomwita Allah ni Shetani, kwanini Allah HAKUKANUSHA DAI HILO la Shangazi wa Mtume!!??
 
Iran acheni hizi, sio nyie mlituambia kuwa siku jeshi la Israel litakapoingia Gaza ndio itakuwa kiama chao? Kiko wapi sasa 🤣 🤣 🤣
 
Ngoja tusubiri tuone Alwaz atatomboka nini kuhusu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…