This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Takbiir.......IDF wa Mbande mko vzr..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takbiir.......IDF wa Mbande mko vzr..
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================
Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.
In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.
The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
Mumetetea magaidi na kusema Mungu ni mkubwa,kweli munaungana na Hamas? Mumeshindwa kuungana na Fatah ya Mahamod Abas anayetafuta haki kwa njia ya amani, nyie mnaungana na magaidi ya Hamas, ona maafa yalitotokea kwa upande wa wakazi wa Gaza! majengo na ardhi vimeharibiwa, miundombinu imeharibiwa, mumepata faida Gani ? Hamas wenyewe wameuliwa wengi Sana. Iran aliwadanganya ataingia vita lakini amewatelekeza, mjifunze wa Misri, Jordan , Saud Arabia na OmanHONGERA KWA UPUMBAFU. silaha na uniforms uziingize mwenyee, uzipige picha alafu uje uwadanganye wasio na akili timamu kuwa umezikuta humo, 🤣🤣TUONYESHE HAYO MAANADAKI, MATEKA NA HAMAS WALIOJIFICHA CHINI YA YA HIYO HOSPITAL KWENYE MAHANDAKI. HATUTAKI LONGOLONGO HAPA YA KUBADILI GIA ANGANI
Msukule ni wewe mwenye roho ya ugaidi, unaumia ukiwa wapi? Hamas kwisha Iran Kwisha muda wowote pressure itapanda, Yesu ni mwana wa Mungu na hii Siri huwezi kuijuaIsrael ni mwamba kwa kuaminisha watu wajinga na ndio maana mpaka leo hii kuna misukule bado inaamini Yesu ni mwana wa Mungu na misukule mingine inaamini Yesu ndio mungu mwenyewe
Hahaaaaa, leta idadi ya hamasi waliokufa, Hamas wanakufa wansema Alahu wakibru, Hulu wanateketea
Israel alishaweka wazi hili vita itakuwa ya muda mrefu, tofauti na oparesheni ya Mrusi.Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================
Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.
In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.
The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
Iran = Hezbollah + yeme + iraq resistance ,sasa km unasubiri kombora litoke iran direct utasubiri sana hila ujue makombora yote wanayorusha hezbollah ni made in iran na hawajalipia hata mia wamepewa bureee na jeshi zima la hezbollah mshahara analipa iran na israel anajua ndio maana akishambuliwa na hezbollah yy analalamika na iran tu.Iran alisema endapo Israel ataingia Gaza Iran ataingilia kati, Israel ameingia Gaza Iran kaogopa hata kurusha kombora
Mkuu gaza ni sawa na mkoa?Vita vimewashinda sasa hv propaganda tu mnahangaika,ww mkenya ndio ulikuwa unaiponda Russia kashindwa kuchukua ukraine mwezi mmoja lakini huongei kitu israel mwezi mmoja unaenda wa pili kashindwa kuchukua eneo dogo la gaza ambao sawa na mkoa mmoja tu
Uwongo mtupu!!!Propaganda kazini sijui unalipwa nini wewe mkenya kuleta habari za uwongo humu jukwaani?Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================
Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.
In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.
The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
Ndo unajua leo!!??? Wakristo wanajua hilo lkn bado hilo ni Taifa teule pamoja na ugaigai wao. Tulieni NYAU awanyooshe.
Kwa gharama ya damu za Wapalestina!!!??? Basi huo mpango ni wa kishetani.Ule mpango wa Iran umefanikiwa kwa kias chake japo sio kwa muda mrefu. Lengo lake ilikuwa Israel na Saudi Arabia wastop kuingia mkataba wa aman
Ni kama Wakristo tusivyomtambua Mudi, hayo hayahusiani na vita inayoendelea.Tatizo wagalatia mmedanganywa sana na Wazungu na ndio maana kinapokuja swala la dini na vitabu vya Mungu mnatoka patupu
Katika nguzo 5 za Imani za kiislam mojawapo ni kuamini vitabu vya Mungu na Injili ikiwepo kwahiyo Muislam ukiikataa Injili automatically unakuwa umetoka katika uislam maana unakuwa unapingana na Qurani so uislam unamkubali Yesu na Injili yake
Lakini Muislam hatakiwi kutumia Injili katika Ibada zake na sheria zake Kwa sababu Injili mda wake umeshapita
Yani hawa manabii 4 waliopewa vitabu ni sawa na tawala za serikali Kila kitabu kimetawala na kuisha mda wake
Bahati mbaya mliyonayo nyinyi wagalatia Quran ndio utawala wa mwisho Mungu hataleta tena nabii Wala kitabu zaidi Muhammad na Qurani yake
Wayahudi hawakumbali Yesu Wala Injili yake na ndio maana Yesu aliwaachia laana
Yanii Ili Imani yako ya Kiyahudi ikamilike unatakiwa umkane YESU na Injili yake
Vita vimewashinda sasa hv propaganda tu mnahangaika,ww mkenya ndio ulikuwa unaiponda Russia kashindwa kuchukua ukraine mwezi mmoja lakini huongei kitu israel mwezi mmoja unaenda wa pili kashindwa kuchukua eneo dogo la gaza ambao sawa na mkoa mmoja tu
Uwongo mtupu!!!Propaganda kazini sijui unalipwa nini wewe mkenya kuleta habari za uwongo humu jukwaani?
[emoji298]️Full translated letter of General Qaani to Mohammad Deif:
In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful
Fight them after they fought you. Allah has the power over them, and He will support you with His help and strengthen your hearts against them. (Al-Fath 48:22)
Praise be to Allah, the Lord of all worlds, and blessings and peace upon the Master of the Prophets and Messengers, our Master and Prophet Muhammad, son of Abdullah, and upon his pure and immaculate family and his chosen and trustworthy companions.
Dear esteemed leader, the valiant commander, and the living martyr Abu Khaled Muhammad Al-Deif, may Allah preserve him, I pray that this message reaches you in good health and safety, under the protection of Allah, the Almighty.
After the introductory words...
With the help of Allah and His victory, you have scripted a great epic titled "The Storm of Al-Aqsa." The Almighty has granted this achievement to the fighters of the Qassam Brigades and other resistance fighters in Gaza. Clearly, you have demonstrated the weakness and fragility of the oppressive Zionist entity, proving practically and decisively that this entity is weaker than a spider's web. Sufficient to describe this significant event is the acknowledgment by both friend and foe that Palestine and the region will not return to their pre-Al-Aqsa Storm conditions.
The criminal enemy attempted to seek revenge on innocent civilians by committing unprecedented and monstrous war crimes, exposing the ethical disgrace that affected Zionism, America, and those who falsely claim to defend human rights. The heroism, patience, and steadfastness of the heroic people in Gaza, their tremendous readiness for sacrifice, once again proved the victory of oppressed blood over the sword of the oppressive enemy.
Dear commander,
The ground operations initiated by the enemy and the successive strikes directed by the resistance against its forces and tanks have demonstrated to everyone that the resistance in Gaza is capable of initiative and innovation, maintaining its organization and field capabilities. This promising achievement has further united the honorable sons of the nation around the choice of jihad, with the belief that the entry of the mujahideen into Al-Aqsa Mosque and its purification from the defilement of the Zionists is now closer than ever.
As Gaza defends the honor, dignity, and pride of the nation, be confident that your brothers, standing firmly with you in the axis of Jerusalem and resistance, along with all the honorable people of the nation and the free people of the world, will not allow this brutal enemy and those who stand behind it to seize Gaza and its heroic and resilient people. They will not allow them to achieve their vile goals throughout Gaza and Palestine.
Dear mujahid brother,
It is an honor for me, on behalf of myself and your brothers in the leadership of the Islamic Republic of Iran, to extend my congratulations and greetings to you, all the mujahideen, and the entire Palestinian people on this significant and encouraging victory. This qualitative achievement is unparalleled in the history of the struggle against this entity, asking Allah, the Blessed and Exalted, to grant the martyrs the highest ranks and the wounded speedy recovery.
In conclusion, we affirm the covenant, the commitment, and the fraternal and religious bond that unites us. Rest assured that within our ongoing protection and effective support for the resistance, we will do everything necessary in this historical battle.
(Al-Imran 3:126) "And Allah made it not but good news and so that your hearts might be at ease. Victory is not but from Allah. Indeed, Allah is Exalted in Might and Wise."
Your brother,
Ismaeil Qaani
Commander of the Quds Force in the Islamic Revolutionary Guard CorpsView attachment 2816008
Hayo ni maoni Yako.Ni kama Wakristo tusivyomtambua Mudi, hayo hayahusiani na vita inayoendelea.