Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

Iran imeona Haina Cha kufanya kwenye mzozo huuo, Kila mtu alikuwa anajua anayetafitwa ni Iran, Gaza asingeweza kuletewa dege vita na meli vita kiasi kile, na Kuna Kila dalili ya mateka kufia mikononi mwa Hamas, Ili Iran asilaumiwe kuwa walishirikiana na Hamas lazima Kiongozi ajitokeze hadharani na kusema hawana uhusiano na Hamas katika shambulizi la 7 Octoba , pia Iran ameshanusa harufu ya mashambulizi ya Israel na USA kutokana na matamushi yake ya Kila siku kuwa siku Moja ataifuta Israel kwenye ramani ya vita, Hilo tayari ni tangazo la vita hivyo Iran ana wasiwasi kutokana na matamuko yake, na huo uninga wake utamgharimu, china, India, Pakistan, Rusia, wanafanya mambo Yao kwa ustarabu, huwezi kuona et natengeneza siraha ili niifute nchi Fulani, mara missile za Iran zinaweza kupiga eneo lolote la Dunia, mara nitaiangamiza America na Israel, kwa matamushi hayo hizo nchi 2 na NATO lazima wamfuatilie Iran kwa ukaribu.
 
Kwanza hapo hospitali anatibiwa nani wakati watu wote walishaambiwa na Israel waende kusini mwa Gaza ili huko kaskazini ubaki uwanja wa mapambano? Wao kwa nini hawajaondoka wakati wenzao walishaondoka?
Yeye Israel ni nani mpaka awaamuru watu kuondoka kwenye nyumba zao?
 
Mbona unapenda kutukana hivi mkuu? Una matatizo gani hasa? Haupo sawa kisakolojia? Kila nikiingia kwenye uzi unao husu hii vita ya HAMAS na Israel lazima nikutane na comments zako zenye matusi. Jirekebishe mkuu,,sisi ni watanzania tu,tusigawanywe kwa hizi dini tulizo letewa na watu
Kwa hiyo kuwaita waisilam magaidi sio matusi ? Matusi muyaanze wenyewe mkijibiwa mnaanza kujiliza.
 
Tatizo la ujinga ndio maana mnadanganyika kiraisi na propaganda ndogondogo.

Ungekuwa na akili timamu na kuifahamu siasa na na nini kitu kinachoitwa propaganda, usingekurupuka na huo ushuzi wako

Mlituambia kwamba Israel ikiingia Gaza, huyo bwana wenu Iran atafanya itu, haya ndiye huyo kawageuka.
 
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================

Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters​

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.

In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.

The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
Times of Israel
 
Wewe ndg siyo muelewa wa mambo ya kivita. Ndiyo kaeneo kadogo,lakini adui amejijengea mazingira ambayo ili umfikie lazima usababishe maafa kwa raia na hapo hasira ya kimataifa juu yako itainuka. Adui ametumia muda mwingi, kujiwekea mazingira ya kujificha , kujihami. Rwandan kieneo ni ndogo nenda kaivamie! Kuingia kwenye ardhi ya mtu kijeshi kwa uwazi siyo jambo dogo, labda kwa kuvizia.
Hata hivyo tuwapongeze Israel kwa kujitahidi sana kupunguza idadi ya vifo vya raia. Kwa jinsi Hamas walivyokuwa wamejichimbia chini ya mindombinu za kiraia mfano, mahospitali,mashule, miskiti na Makambi ya wakimbizi, kwa sasa tungekuwa tunaongelea vifo vya watu wasio na hatia zaidi ya elfu 40, lakini kwa namna walivyoendesha hii vita hadi kufikia ngome za magaidi ,wanastahili pongezi kwa kupunguza idadi ya vifo vya raia.
Hadi sasa Hamasi wanakataa hospitali kutumiwa na Hamas kama kituo cha kutolea amri, wakati ndani ya hospitali zimekutwa silaha ,na vifaa vingine vya kijeshi. Je ni vya nani na kwa nini vilikuwepo ndani ya hospitali?
Kinachoonekana hiyo hospitali ama moja kwa moja madaktari au uongozi wa hospitali ni washirika wa magaidi Hamas.
Yule director wa hiyo hospital inatakiwa atekwe ale kipondo Cha
kutosha then atanyoosha Kila kitu, inavyoonekana huyo dactari anamajibu mengi sana kuhusu uwepo wa Hamas hapo shilfa hospital
 
W
Acheni visingizio jana kwenye hospital milio kuwa mna sema ni makao makuu ya hamas ni kipi cha maana walicho kikuta?
Wewe huwezi kuona Cha maana hata kimoja kilichopatikana pale hospital lkn vya maana vipo vingi sanaa vilivyopatikana pale, kikubwa kimoja wapo ni ushahidi usiotia shaka kwamba Hamasi walikua pale.

Mateka wamefichwa pale kwa kipindi flani na ushahidi wa mavazi (nguo ya kike), mikufu ama rozal vimekutwa pale kwenye basement ya shilfa hospital na hiyo nguo tayari ishatambulika mateka aliyekua kaivaa. So ndgu nikutoe shaka ni swala la muda tu Kila kitu kitakuwa bayana. Nadhani hata wewe mwenyewe nafsi Yako inalijua hilo
 
Thubutu!!!!
Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kumbuka Hamas hawana jeshi, hawana umeme, hawana maji, hawana msaada toka Marekani, hawana vifaru, hawana ndege lkn wamelidindishia jeshi la nchi na washirika wake marekani kwa mwezi na nusu.
Je ingekua Iran? Israel ingechakazwa na hiyo iron dome ingefanywa Kama neti ya kuvulia papa.
Hamas sio jeshi ni guerrilla fighters ingekuwa wanatumia conventional ways of fighting kwa jinsi Gaza ilivyogeuzwa magofu Israel ingesimika bendera yake kuashiria ushindi ,lakini sababu Israel inachotaka ni kuwa demilitarise hamas ndio maana operation inachukuwa mda mrefu.
 
W

Wewe huwezi kuona Cha maana hata kimoja kilichopatikana pale hospital lkn vya maana vipo vingi sanaa vilivyopatikana pale, kikubwa kimoja wapo ni ushahidi usiotia shaka kwamba Hamasi walikua pale.

Mateka wamefichwa pale kwa kipindi flani na ushahidi wa mavazi (nguo ya kike), mikufu ama rozal vimekutwa pale kwenye basement ya shilfa hospital na hiyo nguo tayari ishatambulika mateka aliyekua kaivaa. So ndgu nikutoe shaka ni swala la muda tu Kila kitu kitakuwa bayana. Nadhani hata wewe mwenyewe nafsi Yako inalijua hilo
Israel ni mwamba kwa kuaminisha watu wajinga na ndio maana mpaka leo hii kuna misukule bado inaamini Yesu ni mwana wa Mungu na misukule mingine inaamini Yesu ndio mungu mwenyewe
 
Imechukua muda maana mazombi yenu yamejificha ndani ya watu, hayana jeuri ya kupambana yawahishwe kwa mabikira.
 

Attachments

  • IMG_6272.jpeg
    IMG_6272.jpeg
    83.1 KB · Views: 2
Thubutu!!!!
Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kumbuka Hamas hawana jeshi, hawana umeme, hawana maji, hawana msaada toka Marekani, hawana vifaru, hawana ndege lkn wamelidindishia jeshi la nchi na washirika wake marekani kwa mwezi na nusu.
Je ingekua Iran? Israel ingechakazwa na hiyo iron dome ingefanywa Kama neti ya kuvulia papamuwe
Muwe mnakaa kimya,unafikiri vita ni ushabiki kama wa Simba na Yanga.
1. Izrael ikivamiwa na Iran , hapigina kama anavyopigana na Gaza Kwa kutafuta watu majumbani , atashambulia moja Kwa Moja, kinachoweza kuamua ushindi kati ya Irani na Israel ni
1. Superiority of air force.
2. Uzalendo na morali ya jeshi. 3. Ujuzi na silaha Bora 4. Technologia. Sasa kati ya Israel na Iran nani Yuko vizuri hasa kwenye air force?
 
Kwani hawapi Hamas na Hazibollah silaha zinazotumika kuichakaza Israel??

Siku zote huwa wanakana, hawajawahi kujitokeza hadharani, ndio imebidi watafutwe kwa hiki kipigo kinachoendelea....kama vipi ikiwauma sana waamue kuingilia.
 
Back
Top Bottom