Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Thubutu!!!!
Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kumbuka Hamas hawana jeshi, hawana umeme, hawana maji, hawana msaada toka Marekani, hawana vifaru, hawana ndege lkn wamelidindishia jeshi la nchi na washirika wake marekani kwa mwezi na nusu.
Je ingekua Iran? Israel ingechakazwa na hiyo iron dome ingefanywa Kama neti ya kuvulia papa.
Sasa baada ya kuona manbo magumu mnaanza kuleta habari nyepesinyepesi hapa! Kama Hamas hawana jeshi wala silaha nani aliwaambia waingie na marungu kule Israel Oktoba 7.
Iran anaogopa moto wa Israel siyo kwamba hapendi kuisaidia Hamas.