Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,177
Reaction score
4,887
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu

Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel

Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu

Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje

Screenshot_20250723-204002.jpg
Screenshot_20250723-203718.jpg
 
Jitekenye na ucheke mwenyewe. Wenyewe wameuona mziki wa IADF. Wale jamaa wakiamua jambo lao lazima utafutane. Ni mwendo wa drones watu wanatoa mlio kama hawa wa Iran wa Mtego wa Noti
 
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu

Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel

Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu

Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje

View attachment 3416211View attachment 3416212
Picha Duka? yaani baada ya kuona marubani wa Israel wapo wanawake so na Nyie mnaleta photoshop kusema kazi kubwa ya missile walioziongoza ni wanawake... hahahaha Muslimina wanapenda mipasho
 
Picha Duka? yaani baada ya kuona marubani wa Israel wapo wanawake so na Nyie mnaleta photoshop kusema kazi kubwa ya missile walioziongoza ni wanawake... hahahaha Muslimina wanapenda mipasho
Mimi Kuna kitu siwaelewi nyinyi wagalatia kwanini mnaingiza mambo ya dini katika hi vita

Kwani nyinyi ni nani alikudanganyeni kuwa vita ya Israel na washirika wake Marekani dhidi ya Iran ni vita ya kidini?

Hivi kweli nyinyi wagalatia ni mambumbu kiasi kwamba hamjui kuwa hii ni vita ya kiuchumi na kisiasa?

Alafu Cha kushangaza hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona nyinyi wagalatia katika hizo nchi mbili hakuna mnayefanana nayo dini
 
Kichapo gani we mbwiga,
hao kobazi wenzio wamepigwa mpaka asubuhi ya kuanza cease fire.
We ulikua umelala unajamba tu Kwa kuvimbiwa urojo.
Na Iran asassination kila siku zinaendelea kimyakimya
licha ya cease fire.
We unajamba tu hapo
 
Back
Top Bottom