Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Wakiristu wa hapa bongo ni kama matahira wao wanajipendekeza kwa mtu amabaya hana habari naye na pia wanoneka kama kenyesi wakienda kwao
Kwani nyie hamjishangazi kujifanya kira muislam ni ndugu yako katika iman hapo sudan mbona hampayuki au wale wakiristo pia?? Nyie mnakazania gaza na Iran au ni mabasha zenu waarabu maana mnawapenda sana mpaka mmeiga na tamaduni zao........mkaacha kuvaa vibwaya na ngozi za nyani.........sasa waarabu wamekuja na fomesheni ya usenge.......na nyie mpo uko pia kazi ni kupakwa parachuti na minara mwanzo mwisho ........kweli kobazi . .......kobazi ni kisanga
 
Kichapo gani we mbwiga,
hao kobazi wenzio wamepigwa mpaka asubuhi ya kuanza cease fire.
We ulikua umelala unajamba tu Kwa kuvimbiwa urojo.
Na Iran asassination kila siku zinaendelea kimyakimya
licha ya cease fire.
We unajamba tu hapo
Dini ya Allah ndugu yangu
 
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu

Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel

Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu

Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje

View attachment 3416211View attachment 3416212
Tena wadada warembo kweli kweli.

Iran ni baba lao pale Middle East hilo atakayebisha apimwe akili.

Niliwaambia humu Iran hakunyanyua hata futi moja ya mguu kuhangaika kupaa angani badala yake ame relax ofisini na kikombe cha kahawa huku anaitwanga Israel kimya kimya.
 
Mimi Kuna kitu siwaelewi nyinyi wagalatia kwanini mnaingiza mambo ya dini katika hi vita

Kwani nyinyi ni nani alikudanganyeni kuwa vita ya Israel na washirika wake Marekani dhidi ya Iran ni vita ya kidini?

Hivi kweli nyinyi wagalatia ni mambumbu kiasi kwamba hamjui kuwa hii ni vita ya kiuchumi na kisiasa?

Alafu Cha kushangaza hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona nyinyi wagalatia katika hizo nchi mbili hakuna mnayefanana nayo dini
Wanaowashabikia Iran, Hezbollah, alshabab,hamas, Houthi,islamic jihad wote humu ni waislamu. KATAA
 
Wakiristu wa hapa bongo ni kama matahira wao wanajipendekeza kwa mtu amabaya hana habari naye na pia wanoneka kama kenyesi wakienda kwao
Adui namba moja wa ukiristo ni Israel.

Yaani Israel anawachukia wakiristo kuliko imani nyingine yoyote ile.

Pale Israel dini ya pili jwa ukubwa ni uislamu baada ya Uyahudi. Wakiristo wapo wachache sana na ndiyo wanaofanyiwa vituko na udhalilishaji kila uchwao na Wayahudi.

Lakini utakuta mkiristo anavyomshobokea Myahudi utadhani wana uhusiano wowote hata kwa mbali kumbe ni ardhi na mbingu.
 
Jitekenye na ucheke mwenyewe. Wenyewe wameuona mziki wa IADF. Wale jamaa wakiamua jambo lao lazima utafutane. Ni mwendo wa drones watu wanatoa mlio kama hawa wa Iran wa Mtego wa Noti
Umeelewa hoja? Kwqmba Iran haikutuma ndege wala wanajeshi Israel ila bado ikafanya damage. Maana yake wana teknolojia kubwa sasa imagine nao wangetuma ndege au jeshi la ardhini si pangenoga zaidi.
 
Wanaowashabikia Iran, Hezbollah, alshabab,hamas, Houthi,islamic jihad wote humu ni waislamu. KATAA
Umesahau kuiweka na Palestine na hata Mimi pia katika vita ya Putin namuumga mkono Putin

Hizo nchi ulizozitaja pamoja na Palestine zote ni nchi za waislam lazima tuwaunge mkono

Lakini hata siku Moja hauwezi kukuta Muislam anaziongelea hizo na machafuko yake akaingiza mambo ya udini dhidi ya ukristo Kwa sababu tunajua hizo vita sio za kidini ila ni za kisiasa
Kama ingekuwa hizo nchi Kuna vita Kwa sababu waislam wanazuiwa kufanya ibada ingekuwa ni vita ya kidini na waislam tungeingia front kuwasapoti

Hizo vita ni za kisiasa na kiuchumi na kitu ambacho nyinyi wagalatia hamkijui hizo vita zote Zina mkono wa Marekani Yani Marekani ndio mdhamini wa hizo vita na si Kwa sababu za kidini Bali ni sababu za kiuchumi

Ukanda wa Gaza Kuna hazina kubwa ya gasi lengo la Marekani kumiliki hiyo gasi Kwa hiyo anaipa siraha na pesa Israel Ili kufanikisha hilo lengo la kuwaondoa wapalestine ukanda wa Gaza Lile shambulio la Hamasi dhidi ya Israel walilipanga wenyewe Israel na Marekani Ili kuwazuga mambumbu kama nyinyi

Vita vya Lebanon na Syria pia mdhamini ni Marekani lengo lake aweke vibaraka wake katika hayo Maeneo Ili aweze kupitisha gasi kutoka Qatar kuenda Ulaya Kwa lengo la kuikomoa Urusi Yani nchi za Ulaya zitumie gasi ya Qatar na kuachana na gasi ya urusi na ndio maana hata Urusi pia wapo katika hizo vita hapo mashariki ya kati Ili kuzuia Hira za Marekani

Irani ana utajiri mkubwa wa uraniam na gasi lakini pia ni kikwazo Kwa Marekani kufanya unyonyaji katika nchi za mashariki ya kati ndio maana Marekani anataka kuung'oa utawa madhubuti wa Ayatollah aweke vibaraka wake Ili afanye anachotaka kama alivyofanya Saudi Arabia na Iraq

Wakati Sadam anauliwa na Marekani Anna Tibaijuka alikuwa UN kipindi kile juzi hapa amesema Sadam hajauliwa Kwa sababu ya Nyukilia na Ugaidi ila aliuliwa na marekani Kwa sababu za kiuchumi alikuwa anataka mafuta yake Yasiuzwe Kwa Dora na Anna Tibaijuka anasema walitumia nguvu nyingi kumuokoa lakini ilishindikana hasa ukizingatia tayari Marekani alishaeneza propaganda zake

Gadafi naee hivyo kisingizio ni ugaidi lakini sio kweli alivunja mikataba yote ya kinyonyaji nchini Kwa akapelekwa mahakamani akapigwa fain akasema nitalipa na kweli akalipa alipo maliza madeni akawa anataka kuanzisha system mafuta yake Yasiuzwe Kwa Dora ndio Marekani wakamua

Kwa hiyo waislam wakiichukia Marekani sio Kwa sababu za udini ila Kwa sababu ya dhuluma yake anayoifanya dhidi ya nchi za waislam wenzetu

Sasa nyinyi wagalatia mnadangwa kuwa sijui vita vya udini dhidi ya ukristo huo ni ujinga wenu

Hata nchi ya Kongo kama ingekuwa na waislam wengi wale M23 wangeitwa Islamic state na nyinyi wagalatia mngekubali hizo propaganda kumbe ni kikundi cha Ufaransa na Marekani Kwa ajili ya kuiba madini ya Kongo

Yani nyinyi wagalatia Kila sehemu mnadanganywa tu katika dini yenu mnadanganywa sijui Mungu wenu Yesu
Sasa hata katika mambo ya kidunia Nako mdangwanywe ?
 
Mbona makombora yalipenya, au sio makombora yale!! Israel bila marekani haiwezekani
Hata wewe ukiwa huwezi ngumi utakumbilia kubeba mawe urushe ukiwa mbali huku unakimbia kujificha,ndio alichokifanya irani kurusha makombora akiwa mbali hakuthubutu kuingia Israel, hayo makombora kupenya ni kawaida ila nani aliathirika maana Israel alikuwa anarenga targets maalum na alifanikiwa,Israel anategemeana na marekani ila irani bila mchina na mrusi anaemsaidia kutengeneza nyukilia hamna kitu.
 
kila mtu alikuwa ana target zke yy israel ilikuwa ku target wana science wao iran wamevunja kabisa kituo kikuu cha utafiti wa science kilichokuwa kinategemewa na israel zaidi ya miaka 70,iran wamepga mossad hq,wamepiga wizara ya ulinzi ya israel ,kambi za jeshi zaidi ya 5 zimekuwa majivu mwisho israel soldiers wakahamisha ofisi kwenye hospital iran akajua akaanza kupga mpk hospital hv kwa akili yako unafikiri israel angekua kaweza kumdhibiti iran angekubali vita isitishwe?angekuwa anaendelea kushambulia mpk leo km anavyofanya huko syria
 
Hata wewe ukiwa huwezi ngumi utakumbilia kubeba mawe urushe ukiwa mbali huku unakimbia kujificha,ndio alichokifanya irani kurusha makombora akiwa mbali hakuthubutu kuingia Israel, hayo makombora kupenya ni kawaida ila nani aliathirika maana Israel alikuwa anarenga targets maalum na alifanikiwa,Israel anategemeana na marekani ila irani bila mchina na mrusi anaemsaidia kutengeneza nyukilia hamna kitu.
Wacha kuropoka,Iran ametumia bajeti ndogo ya vita na kuiipa hasara Israel kuliko unavyodhani.
Israel imepata hasara kubwa kuliko udhaniavyo,Kuna vituo vya uwekezaji vimelipuliwa,bandari Haifa imelipuliwa,kituo Cha usafishaji mafuta Haifa kimelipuliwa,kambi Tano za jeshi zimelipuliwa.
Kama ulikua hujui utumiaji makombora ni bora kuliko ndege kwasababu ni costless na damage ni ndogo kwa mtumiaji.
Ndege gharama kwa mafuta pia gharama ya maisha inaweza kuhusika ya marubani.
Sasa sijui nani ni mjanja kati ya Iran na Israel!?
 
Mkuu Kosugi acha kupoteza muda wako kumuelewesha mjinga. Kuna muda naona ni rahisi mara 90 kumuelewesha myahudi wa Israel mwenyewe kuhusu nguvu za Iran akakuelewa kiwepesi mno, kuliko kumuelewesha myahudi wa manyovu alieshiba mapera na mahindi ya kumchemsha huku akiamini kuwa na yeye ni sehemu ya waisrael weusi waliopo Tz.
 
Yani mtu anajikaza eti aliyetumia ndege ni bora kuliko aliyetumia makombora kweli!?
😂😂😂😂 Insanity is real aisee!
Kitu alichokifanya Iran kimefanya mataifa kama Turkiye yazinduke nao wameanza massive investment kwenye suicide drones na missiles.
Ulaya imewatetema kiasi wanajadili kuhusu uwezo wa Iran wa makombora.
Mtu umekaa ofisini unabofya kitu kinatua kilometa 2000 ndani ya dakika 7.Sio mchezo damage yake sio poa.
Kuna raia wa kigeni muingereza alikua anasema wao walikua mtaa wa tatu ila shock wave ya kombora iliwafikia.
Na kaonesha mtaa ni chakachaka vioo vilivyopasuka.
Uturuki huko ameanza kuhamisha nguvu kwenye makombora.
 
Mamajusi wa Kiebrania kutoka Buza kwa Mpalaange njooni huku
images (30).jpeg
 
Yani mtu anajikaza eti aliyetumia ndege ni bora kuliko aliyetumia makombora kweli!?
😂😂😂😂 Insanity is real aisee!
Kitu alichokifanya Iran kimefanya mataifa kama Turkiye yazinduke nao wameanza massive investment kwenye suicide drones na missiles.
Ulaya imewatetema kiasi wanajadili kuhusu uwezo wa Iran wa makombora.
Mtu umekaa ofisini unabofya kitu kinatua kilometa 2000 ndani ya dakika 7.Sio mchezo damage yake sio poa.
Kuna raia wa kigeni muingereza alikua anasema wao walikua mtaa wa tatu ila shock wave ya kombora iliwafikia.
Na kaonesha mtaa ni chakachaka vioo vilivyopasuka.
Uturuki huko ameanza kuhamisha nguvu kwenye makombora.
Huyo jamaa ni mpumbavu. Na hiyo ni kutokana na rules za JF kutoangalia elimu za watu katika kujisajili ili uwe member wa jukwaa hili.

Kwa aina ya muandiko na comments zake. Vinaonesha fika kuwa unaejaribu kumuelewesha ni mjinga kiasi gani. Na unachojaribu kumuelewesha hatokielewa abadan kutokana na ufinyu wake wa elimu na uelewa.

BTW.. Umefanya vyema kuelewesha. Maana hata kama huyo kiazi mbatata hajaelewa, basi wenye akili wengine including myself tumeelewa ulichoandika.
 
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu

Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel

Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu

Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje

View attachment 3416211View attachment 3416212
uwezo wakutuma hizo Iran hakuwa nao zingedondoshwa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu

Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel

Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu

Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje

View attachment 3416211View attachment 3416212
vipi magenerali wa Iran na mkuu wao wa majeshi wameuawa hizo office za Iran walishindwa kuyazuia hayo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Israel alifanikiwa kwa kiasi.

Marejeo yatakuwa makali zaidi
 
Back
Top Bottom