Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu

Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel

Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu

Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje

View attachment 3416211View attachment 3416212
Hadi tuizoee AI wajinga wengi kama huyu mleta mada watakuwa wamepata shida sana.
Pole sana ndugu, jifunze kwanza vitu vidogo uvielewe kabla ya kukurupukia vitu vikubwa
 
Huku

Iran si wamama hawaruhusiwi hata kuendesha gari.. wamama si ni takataka huko au nakosea?
 
Huku

Iran si wamama hawaruhusiwi hata kuendesha gari.. wamama si ni takataka huko au nakosea?
Hizo ni propaganda za Marekani na Uingereza na Netanyau

Kuna Hadi yule mdada walimtengeneza kuhusu kuvaa ushungi Ili kuleta machafuko lakini wakachemka
 
Attachments

  • Screenshot_20250726-154828.jpg
    Screenshot_20250726-154828.jpg
    329.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250726-154753.jpg
    Screenshot_20250726-154753.jpg
    467.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250726-154617.jpg
    Screenshot_20250726-154617.jpg
    368.7 KB · Views: 22
Hizo ni propaganda za Marekani na Uingereza na Netanyau

Kuna Hadi yule mdada walimtengeneza kuhusu kuvaa ushungi Ili kuleta machafuko lakini wakachemka
Are you sure?!mie tangu nimepona movie inayoitwa ,not without my daughter nimekuwa na picha ya kutisha kuhusu Iran
 
kwan hawafanyi? kwan raisi wa marekani si wanamuweka wao: president wa zamani pia si alishasema

View: https://www.youtube.com/shorts/E-Z9NtWp-Sg?feature=share

Kama ingekua wanamuweka wao basi mara hii Netanyahu asingemsikiliza Trump kuhusu kuacha vita na Iran pia Trump angemsikiliza Netanyahu na angeingia vitani na Iran Moja kwa Moja.
2021 bunge la senates lilipiga kura na kutoa uamuzi wa kusitisha msaada wa kijeshi kwa Israel mwaka huo na shauri likapita na mwaka huo Israel hakupatiwa msaada wa kijeshi baada ya Sheriin Abu Akleh kupigwa risasi.
Yani wewe ni sawa na wale watu mnaomezeshwa tu conspiracy mkaamini.
 
Hadi tuizoee AI wajinga wengi kama huyu mleta mada watakuwa wamepata shida sana.
Pole sana ndugu, jifunze kwanza vitu vidogo uvielewe kabla ya kukurupukia vitu vikubwa
Wewe ndio mjinga ambaye hata hauelewi yanayoendelea Duniani

Kwanini Trump alipambana Ili vita iishe?
Unataka kusema Trump alipambana vita iishe Ili kuiokoa Irani?

Na ulivyo mjinga yawezekana hata haujui kuwa Ile vita iliisha Kwa juhudi za Trump
 
Attachments

  • Screenshot_20250726-162533.jpg
    Screenshot_20250726-162533.jpg
    687.8 KB · Views: 22
  • Screenshot_20250726-162450.jpg
    Screenshot_20250726-162450.jpg
    469.4 KB · Views: 19
  • Screenshot_20250726-162430.jpg
    Screenshot_20250726-162430.jpg
    563.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250726-162341.jpg
    Screenshot_20250726-162341.jpg
    458.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250726-162215.jpg
    Screenshot_20250726-162215.jpg
    606 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250726-162127.jpg
    Screenshot_20250726-162127.jpg
    601.8 KB · Views: 19
Hizi video nimezisikiliza sana ila ni kinyume na uhalisia.
Usichukulie mambo kijicho la kawaida tu na ndani ya box.
ukikua utaelewa saahv bado utaona kama wanapiga ramli ila ipo sku utaelewa
 
Kama ingekua wanamuweka wao basi mara hii Netanyahu asingemsikiliza Trump kuhusu kuacha vita na Iran pia Trump angemsikiliza Netanyahu na angeingia vitani na Iran Moja kwa Moja.
2021 bunge la senates lilipiga kura na kutoa uamuzi wa kusitisha msaada wa kijeshi kwa Israel mwaka huo na shauri likapita na mwaka huo Israel hakupatiwa msaada wa kijeshi baada ya Sheriin Abu Akleh kupigwa risasi.
Yani wewe ni sawa na wale watu mnaomezeshwa tu conspiracy mkaamini.
we ni mdogo sana kwenye siasa! huelewi dunia inaenda wap ndo nachoweza kukwambia, kama unajua zaidi ya raisi wa marekan basi wewe una nchi yako
 
Wazee wa kukariri, trump mwenyewe amekiri kushindwa kwa israel, wewe kama nani useme hayo! Huyu myahudi huyu sijui amewalisha lini.
Trump na Netanyahu wote walikiri kutimiza malengo,kama malengo hayakutimia Israel angeendelea kuyatimiza
 
Trump na Netanyahu wote walikiri kutimiza malengo,kama malengo hayakutimia Israel angeendelea kuyatimiza
Malengo gani?
Hivi mnajisahaulisha kuwa Israel iliomba vita kuisha kupitia EU members waliomuita Abbas Araghchi Geneva baada ya Iran kukataa ku negotiate na USA?
Nuclear projects za Iran bado zipo hai,jeshi la Iran bado lipo imara na Ayatollah Khamenei bado utawala wake upo.
Aya tueleze malengo gani Trump na Netanyahu wameyatimiza!?
 
Back
Top Bottom