Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
- Thread starter
- #101
Yani unaamanisha kuwa Irani hana Ndege za kijeshi?Ulitaka watumie vitu wasivyokuwa navyo?
Wewe wapi au mkulima wa maparachichi from Chunya?
Hizo apo ziangalie tena hizo ametengeneza mwenyewe sio kama hao wanaotegemewa Hadi wapewe na Marekani