Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Wacha kuropoka,Iran ametumia bajeti ndogo ya vita na kuiipa hasara Israel kuliko unavyodhani.
Israel imepata hasara kubwa kuliko udhaniavyo,Kuna vituo vya uwekezaji vimelipuliwa,bandari Haifa imelipuliwa,kituo Cha usafishaji mafuta Haifa kimelipuliwa,kambi Tano za jeshi zimelipuliwa.
Kama ulikua hujui utumiaji makombora ni bora kuliko ndege kwasababu ni costless na damage ni ndogo kwa mtumiaji.
Ndege gharama kwa mafuta pia gharama ya maisha inaweza kuhusika ya marubani.
Sasa sijui nani ni mjanja kati ya Iran na Israel!?
Hizo F-35 cost ya kui run lisaa limoja ni usd 42,000... hizo ndege zikiruka mission moja zikirudi ni maintenance ikiwemo stealth coating...
 
Kumbe watu mkipigwa kidogo mkaachwa mnakuja kutukana huku, inabidi mpigwe muishe kabisa
 
Umesoma maelezo yote mkuu!?
Israel inadai ilikua ni mistake,walidhani ni meli vita ya Misri.
Mie nilidhani Israel ameishambulia USA kama alivyoshambulia Iran.
Pia baada ya hili rais wa US alitoa tamko Israel isitishe mashambulizi na ikasitisha kwa kufata amri yake.
umesoma mpaka mwisho?
 
Adui namba moja wa ukiristo ni Israel.

Yaani Israel anawachukia wakiristo kuliko imani nyingine yoyote ile.

Pale Israel dini ya pili jwa ukubwa ni uislamu baada ya Uyahudi. Wakiristo wapo wachache sana na ndiyo wanaofanyiwa vituko na udhalilishaji kila uchwao na Wayahudi.

Lakini utakuta mkiristo anavyomshobokea Myahudi utadhani wana uhusiano wowote hata kwa mbali kumbe ni ardhi na mbingu.
Nasikia mud alikuwa mbakaji wa watoto wa dogo
 
Narudia acha kuropoka.
Israel alitumia ndege za f35 na f16 fighter jets.
Au sikuhizi Kuna f35 zisizo na rubani!?
Hata unachoongea hukijui.
Kwa idadi ya ndege alizotumia Israel lazima tusifu Iran imejitahidi kujilinda,licha ya hivyo ametumia hadi mbinu za kigaidi kwa kutegesha mabomu kwenye magari na kutumia suicide drones ndani ya Iran.
Watu kufa katika vita ni lazima na wanaweza kuwekwa mbadala wake.
Iran Ina nuclear sites 8,zilizoguswa ni 3 tu,utasema hapo Israel amefanikiwa?
Hata Mimi ni baba yako mtihani una maswali nane wewe umefanya maswali MATATU tu aisee nakuzaba mabao.
Angalau ungefanya manne ningesema umefanya nusu ya maswali.
Kiufupi Israel AMEFELI.
Israel imegeuzwa vifusi Kila kona ya Haifa na TelAviv.
Raia wamekimbia nchi wengi tu kwenda Cyprus.
Wewe Baki na akili yako kisoda hapo.
Rudia nilichoandika acha kukurupuka nani kasema Israel katuma ndege zisizo na rubani?pili elewa tu Israel alikuwa na malengo yake kivita na aliyatimiza lengo kuu ni kulipua vinu vikubwa vya nuclear na alifanya hivyo,angeamua kuingia kwenye vitu kamili kusingebaki jiwe juu ya jiwe irani,waulize gaza,Lebanon,Syria na Yemen watakueleza Israel ni nani au kama umemsahau Israel rejea 6 days war utajua unaeongea nae ni nani kwenye medani za vita,mwisho wa siku mtajifariji kwa kusema Israel bila Marekani hamna kitu.
 
Netanyahu alichapwa yaani kwa sasa ameufyata lile domodomo lake amelifunga
 
Rudia nilichoandika acha kukurupuka nani kasema Israel katuma ndege zisizo na rubani?pili elewa tu Israel alikuwa na malengo yake kivita na aliyatimiza lengo kuu ni kulipua vinu vikubwa vya nuclear na alifanya hivyo,angeamua kuingia kwenye vitu kamili kusingebaki jiwe juu ya jiwe irani,waulize gaza,Lebanon,Syria na Yemen watakueleza Israel ni nani au kama umemsahau Israel rejea 6 days war utajua unaeongea nae ni nani kwenye medani za vita,mwisho wa siku mtajifariji kwa kusema Israel bila Marekani hamna kitu.
Fala mkubwa wewe Wacha kukanusha maneno.
Kule juu umesema Israel hawezi peleka ndege zikiwa na marubani.
Pia unaonekana huna unalojua.
-Lebanon Israel alipigwa 2006 na Hizbollah Wakavutwa hadi shebah farms,walipozidiwa wakakubali kukaa mezani.Mwaka Jana kuingia mwaka huu France na US waliishinikiza Beirut iishurutishe Hizbollah kusitisha vita maana Hizbollah walianza kutumia long range ballistic missiles zilizofanya Galilee nzima ikimbiwe na wakazi laki tatu.
-Hamas yenye wapigaji wenye silaha duni imewapatisha IDF 120000 wenye ulemavu wa kudumu na vifo juu,mwaka wa pili unaelekea wa tatu hakuna walichofanikiwa Israel.
-Syria kama unazungumzia kuhusu Assad Kremlin walimshauri Assad ang'atuke ndio maana wanajeshi wa Assad walikua wakijisalimisha bila upinzani.
-Six days war hakukuwa na cross fire Wala confrontation zozote bali ni IAF kushambulia Sinai kwa ndege vita na kuteketeza airbase ya Misri Kesha kugeukia Syria.

Tuje Iran,habari zote zimeonesha hapa kuhusu Israel kushambuliwa na makombora mazito ya Iran,nchi 6 UK, France,Jordan,Saudi Arabia na USA zimesaidia kudungua makombora ya Iran lakini still yalifika yakaharibu makazi ya watu zaidi ya 2000,yakaharibu Mossad HQ,kituo Cha sayansi,vituo vya uwekezaji,bandari Haifa,Oil refinery plant Haifa,kambi Tano za jeshi ndani ya Israel.
Tena yaliyotumika ni toleo la zamani.
Na hapo Israel alitumia ndege zaidi ya 100, mashushushu ndani ya Iran waliokua wanapachika mabomu kwenye magari na kutumia suicide drones ila akashindwa.
Iran ana nuke site 8 wamezigusa tatu Tano nzima zinafanya kazi.
Usitufanye sisi fala mwenzako Kila mtu kaona jinsi Israel ilivyopigwa hadi raia kuhama nchi kuelekea Cyprus.
Tumeona jinsi Netanyahu alivyokua aliomba msaada akisema kabisa kumwambia Trump "today us tomorrow it might be Washington".
Tumeona EU members France Germany na UK wakimvuta Abbas Araghchi Geneva akubali kusitisha vita.
Maafa Kila mmoja yakaona.
Na pale Iran ametumia only one missile city,Iran katika Kila Mkoa wake ana missile city.
Jiulize angesema aanze kutumia missile city za nchi nzima Israel ingekuaje!???
Hapo Iran alianza kutumia missiles zenye cluster warheads.
Na angesema aanze kutumia nguvu yake yote Israel isingesimama katwu.
Wayahudi wenyewe walikiri kuwa hawakuwahi kupigwa na makombora mazito kama yale.Hata bomb shelter sio salama kwao maana zipo zilizofukuliwa na hayo makombora na watu wakanasa wengine kufa humo humo.
Wakakimbilia vituo vya treni na kulala huko.Wewe mmatumbi unakuja kuropoka nini hapa!?
Watu wamehama hadi nchi kukimbilia Cyprus!

Usitufanye sisi mapunguani kijana na ukome kabisa .
 
Netanyahu alichapwa yaani kwa sasa ameufyata lile domodomo lake amelifunga
Na bado Kuna mapunguani wanakwambia eti Israel hakuamua kupigana full out war ila kama angeamua kusingesalia kitu Iran.
Wamesahau Iran imefanya raia wa Israel wakimbie nchi wahamie Cyprus.
 
Kwani nyie hamjishangazi kujifanya kira muislam ni ndugu yako katika iman hapo sudan mbona hampayuki au wale wakiristo pia?? Nyie mnakazania gaza na Iran au ni mabasha zenu waarabu maana mnawapenda sana mpaka mmeiga na tamaduni zao........mkaacha kuvaa vibwaya na ngozi za nyani.........sasa waarabu wamekuja na fomesheni ya usenge.......na nyie mpo uko pia kazi ni kupakwa parachuti na minara mwanzo mwisho ........kweli kobazi . .......kobazi ni kisanga
Anzisha mada nyingine kuhusu sudani itajibiwa .ukweli ni kuwa wakristu wengi ni mambumbu na hawajui chochote kuhusu israel
 
Na bado Kuna mapunguani wanakwambia eti Israel hakuamua kupigana full out war ila kama angeamua kusingesalia kitu Iran.
Wamesahau Iran imefanya raia wa Israel wakimbie nchi wahamie Cyprus.
Israel ametumi resource zote na uwezo wake wote na alijianda sana kwa ushirikiano na westen .. hatakaa apate tena hiyo fursa milele ndo ameshaajianika hivyo
 
Jitekenye na ucheke mwenyewe. Wenyewe wameuona mziki wa IADF. Wale jamaa wakiamua jambo lao lazima utafutane. Ni mwendo wa drones watu wanatoa mlio kama hawa wa Iran wa Mtego wa Noti
Manenobya tundu lissu samia anachezea kanisa wale jamaana makofia wabaya hzo ni hekaya kichapo kapatiwa mademu wakiwa ofisini na handbags na lipstick
 
Kichapo gani we mbwiga,
hao kobazi wenzio wamepigwa mpaka asubuhi ya kuanza cease fire.
We ulikua umelala unajamba tu Kwa kuvimbiwa urojo.
Na Iran asassination kila siku zinaendelea kimyakimya
licha ya cease fire.
We unajamba tu hapo
Kwaiyo ujagundua tu kuwa Israel imepigika vibaya kiasi cha kusimamisha vita alivo vianzisha !!!

na sasa Israel inapigana Kigaid Gaid Ajabu na Walokole kwasasa wanashangilia Ugaid !!

wacha mvua inyeshe bado kunamatundu tutayaona!!!

Kutoka Israel wasioshindwa hadi waisrae watega mabomu kigaid !!

Kwasasa wenye Akili wameelewa kuwa Israel hiii Media Media ni FAKE !!


Waisrael OG ndio Iran !!

kwamacho yetu tumeona Iran katupigia Adui yake kwa siku12 tu Adui kachakaa kias cha Babake kurusha taulo !!!

mshangao Iran wakiwa Hm tu..!!

hiii kitu tunajua Wachungaj imewauma sana !!

Sababu Sadaka zinapungua waumin wanataka kusikia tu kuwa Waisrael ni chuma chapua awapigiki wanaweza piga ata iyo Marekani na Dunia yate !!!

kiufupi wameweka tumaini kubwa kwa waisrael awa fake na ni MASHOGA. !!

Waumin wamekubali kijinga kudanganyika kuusu Israel..!!

vichwani kwasasa kuna vitu v3
KUMBE ni makatili sana.
KUMBE nao wanapigika kama ivi
KUMBE jamaa ni Misodoma mishoga,,
 
unajua israel alishawahi kumshambulia marekan?
Ajawai tatizo!!!

ila usidanganye watu kilichotokea majeshi yamejipiga yenyewe kimakosa. !!

Sio neno Israe kashawai mpiga marekani au mim sijuu fafanua zaid?


Wakidhani ni MELI ya Jesh la Misri!!

Ipo siri inafichwa kwenye tukio la Meli kupigwa wakafa wajeda wa USA.!!

. jambo lipo linatokea maeneo mengi ya Vita ata Gaza wanajesh wa Israel wameuwana sana wenyewe kwa wenyewe ukiacha pia kuuwa raia wao w 3 kuna mengi yanafichwa.
 
ushawahi jiuliza bila israel marekan inakuaje
Sio bila ya Israel Marekani inakuaje

Sema bila ya Marekani Israel inakuaje na jibu lipo tumeona jinsi ilivyo kuwa Baada ya kuchwapwa na Irani

Alafu basi uwe unangalia hata habari zinazoendela Baada ya vita

Trump ameiambia Irani kama itaishambulia tena Israel basi Marekani itapeleka jeshi lenye zana mzito kuenda kuishambulia Irani

Na raisi wa China akamjibu Trump kuwa Irani haiko peke yake ukiishambulia na Mimi nitakushambulia

Kama Israel inajiweza Kwa Nini Trump aseme hivi?

Israel anawaonea hao hao wanamgambo na wanawake na watoto hana uwezo wowote
 
Back
Top Bottom