"missiles are the solution"Usa yenyewe na NATO Yao,hawawezi kukaa ofisi mpaka wapige kiguu na njia,Iran katuheshimishaView attachment 3416221
Picha Duka? yaani baada ya kuona marubani wa Israel wapo wanawake so na Nyie mnaleta photoshop kusema kazi kubwa ya missile walioziongoza ni wanawake... hahahaha Muslimina wanapenda mipashoKatika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
Thubutu yake!angewezaje kupenya kwenye anga la Israeli, wangekiona cha mtemakuni.
Mimi Kuna kitu siwaelewi nyinyi wagalatia kwanini mnaingiza mambo ya dini katika hi vitaPicha Duka? yaani baada ya kuona marubani wa Israel wapo wanawake so na Nyie mnaleta photoshop kusema kazi kubwa ya missile walioziongoza ni wanawake... hahahaha Muslimina wanapenda mipasho
A hahaWakiristu wa hapa bongo ni kama matahira wao wanajipendekeza kwa mtu amabaya hana habari naye na pia wanoneka kama kenyesi wakienda kwao
Ndugu yangu ukiwa muislamu jukumu lako ni kushabikia kikundi chochote cha kiislamu kilichoko vitani (alshabab,boko haramu, Hezbollah,hamas,alqaida, Islamic jihad,hamas etc).Si ni hawa Iran walio lalamika kwamba Israel ilitumia nguvu za giza kwa vita ile? Leo tena?