Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,580
- 5,563
Kwani nyie hamjishangazi kujifanya kira muislam ni ndugu yako katika iman hapo sudan mbona hampayuki au wale wakiristo pia?? Nyie mnakazania gaza na Iran au ni mabasha zenu waarabu maana mnawapenda sana mpaka mmeiga na tamaduni zao........mkaacha kuvaa vibwaya na ngozi za nyani.........sasa waarabu wamekuja na fomesheni ya usenge.......na nyie mpo uko pia kazi ni kupakwa parachuti na minara mwanzo mwisho ........kweli kobazi . .......kobazi ni kisangaWakiristu wa hapa bongo ni kama matahira wao wanajipendekeza kwa mtu amabaya hana habari naye na pia wanoneka kama kenyesi wakienda kwao
Dini ya Allah ndugu yanguKichapo gani we mbwiga,
hao kobazi wenzio wamepigwa mpaka asubuhi ya kuanza cease fire.
We ulikua umelala unajamba tu Kwa kuvimbiwa urojo.
Na Iran asassination kila siku zinaendelea kimyakimya
licha ya cease fire.
We unajamba tu hapo
Tena wadada warembo kweli kweli.Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
Wanaowashabikia Iran, Hezbollah, alshabab,hamas, Houthi,islamic jihad wote humu ni waislamu. KATAAMimi Kuna kitu siwaelewi nyinyi wagalatia kwanini mnaingiza mambo ya dini katika hi vita
Kwani nyinyi ni nani alikudanganyeni kuwa vita ya Israel na washirika wake Marekani dhidi ya Iran ni vita ya kidini?
Hivi kweli nyinyi wagalatia ni mambumbu kiasi kwamba hamjui kuwa hii ni vita ya kiuchumi na kisiasa?
Alafu Cha kushangaza hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona nyinyi wagalatia katika hizo nchi mbili hakuna mnayefanana nayo dini
Adui namba moja wa ukiristo ni Israel.Wakiristu wa hapa bongo ni kama matahira wao wanajipendekeza kwa mtu amabaya hana habari naye na pia wanoneka kama kenyesi wakienda kwao
Hivi kati ya Iran na Israel Nani aliomba poo?Jitekenye na ucheke mwenyewe. Wenyewe wameuona mziki wa IADF. Wale jamaa wakiamua jambo lao lazima utafutane. Ni mwendo wa drones watu wanatoa mlio kama hawa wa Iran wa Mtego wa Noti
Umeelewa hoja? Kwqmba Iran haikutuma ndege wala wanajeshi Israel ila bado ikafanya damage. Maana yake wana teknolojia kubwa sasa imagine nao wangetuma ndege au jeshi la ardhini si pangenoga zaidi.Jitekenye na ucheke mwenyewe. Wenyewe wameuona mziki wa IADF. Wale jamaa wakiamua jambo lao lazima utafutane. Ni mwendo wa drones watu wanatoa mlio kama hawa wa Iran wa Mtego wa Noti
Umesahau kuiweka na Palestine na hata Mimi pia katika vita ya Putin namuumga mkono PutinWanaowashabikia Iran, Hezbollah, alshabab,hamas, Houthi,islamic jihad wote humu ni waislamu. KATAA
Hata wewe ukiwa huwezi ngumi utakumbilia kubeba mawe urushe ukiwa mbali huku unakimbia kujificha,ndio alichokifanya irani kurusha makombora akiwa mbali hakuthubutu kuingia Israel, hayo makombora kupenya ni kawaida ila nani aliathirika maana Israel alikuwa anarenga targets maalum na alifanikiwa,Israel anategemeana na marekani ila irani bila mchina na mrusi anaemsaidia kutengeneza nyukilia hamna kitu.Mbona makombora yalipenya, au sio makombora yale!! Israel bila marekani haiwezekani
hayo makombora yamepenya wapi na walisaidiwa na nchi 10+Thubutu yake!angewezaje kupenya kwenye anga la Israeli, wangekiona cha mtemakuni.
kila mtu alikuwa ana target zke yy israel ilikuwa ku target wana science wao iran wamevunja kabisa kituo kikuu cha utafiti wa science kilichokuwa kinategemewa na israel zaidi ya miaka 70,iran wamepga mossad hq,wamepiga wizara ya ulinzi ya israel ,kambi za jeshi zaidi ya 5 zimekuwa majivu mwisho israel soldiers wakahamisha ofisi kwenye hospital iran akajua akaanza kupga mpk hospital hv kwa akili yako unafikiri israel angekua kaweza kumdhibiti iran angekubali vita isitishwe?angekuwa anaendelea kushambulia mpk leo km anavyofanya huko syriaHata wewe ukiwa huwezi ngumi utakumbilia kubeba mawe urushe ukiwa mbali huku unakimbia kujificha,ndio alichokifanya irani kurusha makombora akiwa mbali hakuthubutu kuingia Israel, hayo makombora kupenya ni kawaida ila nani aliathirika maana Israel alikuwa anarenga targets maalum na alifanikiwa,Israel anategemeana na marekani ila irani bila mchina na mrusi anaemsaidia kutengeneza nyukilia hamna kitu.
Wacha kuropoka,Iran ametumia bajeti ndogo ya vita na kuiipa hasara Israel kuliko unavyodhani.Hata wewe ukiwa huwezi ngumi utakumbilia kubeba mawe urushe ukiwa mbali huku unakimbia kujificha,ndio alichokifanya irani kurusha makombora akiwa mbali hakuthubutu kuingia Israel, hayo makombora kupenya ni kawaida ila nani aliathirika maana Israel alikuwa anarenga targets maalum na alifanikiwa,Israel anategemeana na marekani ila irani bila mchina na mrusi anaemsaidia kutengeneza nyukilia hamna kitu.
Mkuu Kosugi acha kupoteza muda wako kumuelewesha mjinga. Kuna muda naona ni rahisi mara 90 kumuelewesha myahudi wa Israel mwenyewe kuhusu nguvu za Iran akakuelewa kiwepesi mno, kuliko kumuelewesha myahudi wa manyovu alieshiba mapera na mahindi ya kumchemsha huku akiamini kuwa na yeye ni sehemu ya waisrael weusi waliopo Tz.Wacha kuropoka,Iran ametumia bajeti ndogo ya vita na kuiipa hasara Israel kuliko unavyodhani.
Israel imepata hasara kubwa kuliko udhaniavyo,Kuna vituo vya uwekezaji vimelipuliwa,bandari Haifa imelipuliwa,kituo Cha usafishaji mafuta Haifa kimelipuliwa,kambi Tano za jeshi zimelipuliwa.
Kama ulikua hujui utumiaji makombora ni bora kuliko ndege kwasababu ni costless na damage ni ndogo kwa mtumiaji.
Ndege gharama kwa mafuta pia gharama ya maisha inaweza kuhusika ya marubani.
Sasa sijui nani ni mjanja kati ya Iran na Israel!?
Yani mtu anajikaza eti aliyetumia ndege ni bora kuliko aliyetumia makombora kweli!?Mkuu Kosugi acha kupoteza muda wako kumuelewesha mjinga. Kuna muda naona ni rahisi mara 90 kumuelewesha myahudi wa Israel mwenyewe kuhusu nguvu za Iran akakuelewa kiwepesi mno, kuliko kumuelewesha myahudi wa manyovu alieshiba mapera na mahindi ya kumchemsha huku akiamini kuwa na yeye ni sehemu ya waisrael weusi waliopo Tz.
Mamajusi wa Kiebrania kutoka Buza kwa Mpalaange njooni huku
Huyo jamaa ni mpumbavu. Na hiyo ni kutokana na rules za JF kutoangalia elimu za watu katika kujisajili ili uwe member wa jukwaa hili.Yani mtu anajikaza eti aliyetumia ndege ni bora kuliko aliyetumia makombora kweli!?
ππππ Insanity is real aisee!
Kitu alichokifanya Iran kimefanya mataifa kama Turkiye yazinduke nao wameanza massive investment kwenye suicide drones na missiles.
Ulaya imewatetema kiasi wanajadili kuhusu uwezo wa Iran wa makombora.
Mtu umekaa ofisini unabofya kitu kinatua kilometa 2000 ndani ya dakika 7.Sio mchezo damage yake sio poa.
Kuna raia wa kigeni muingereza alikua anasema wao walikua mtaa wa tatu ila shock wave ya kombora iliwafikia.
Na kaonesha mtaa ni chakachaka vioo vilivyopasuka.
Uturuki huko ameanza kuhamisha nguvu kwenye makombora.
uwezo wakutuma hizo Iran hakuwa nao zingedondoshwaKatika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
vipi magenerali wa Iran na mkuu wao wa majeshi wameuawa hizo office za Iran walishindwa kuyazuia hayoKatika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212