The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 560
- 979
Hadi tuizoee AI wajinga wengi kama huyu mleta mada watakuwa wamepata shida sana.Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
Iran si wamama hawaruhusiwi hata kuendesha gari.. wamama si ni takataka huko au nakosea?Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
Hizo ni propaganda za Marekani na Uingereza na NetanyauHuku
Iran si wamama hawaruhusiwi hata kuendesha gari.. wamama si ni takataka huko au nakosea?
Are you sure?!mie tangu nimepona movie inayoitwa ,not without my daughter nimekuwa na picha ya kutisha kuhusu IranHizo ni propaganda za Marekani na Uingereza na Netanyau
Kuna Hadi yule mdada walimtengeneza kuhusu kuvaa ushungi Ili kuleta machafuko lakini wakachemka
Hizi video nimezisikiliza sana ila ni kinyume na uhalisia.ebu pata somo fupi kwanza kutoka kwa lissu maaana siasa ni kama hamzielewi kabisa: anza apa apo video inapoanza
View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?t=4772
Kama ingekua wanamuweka wao basi mara hii Netanyahu asingemsikiliza Trump kuhusu kuacha vita na Iran pia Trump angemsikiliza Netanyahu na angeingia vitani na Iran Moja kwa Moja.kwan hawafanyi? kwan raisi wa marekani si wanamuweka wao: president wa zamani pia si alishasema
View: https://www.youtube.com/shorts/E-Z9NtWp-Sg?feature=share
Wewe ndio mjinga ambaye hata hauelewi yanayoendelea DunianiHadi tuizoee AI wajinga wengi kama huyu mleta mada watakuwa wamepata shida sana.
Pole sana ndugu, jifunze kwanza vitu vidogo uvielewe kabla ya kukurupukia vitu vikubwa
ukikua utaelewa saahv bado utaona kama wanapiga ramli ila ipo sku utaelewaHizi video nimezisikiliza sana ila ni kinyume na uhalisia.
Usichukulie mambo kijicho la kawaida tu na ndani ya box.
we ni mdogo sana kwenye siasa! huelewi dunia inaenda wap ndo nachoweza kukwambia, kama unajua zaidi ya raisi wa marekan basi wewe una nchi yakoKama ingekua wanamuweka wao basi mara hii Netanyahu asingemsikiliza Trump kuhusu kuacha vita na Iran pia Trump angemsikiliza Netanyahu na angeingia vitani na Iran Moja kwa Moja.
2021 bunge la senates lilipiga kura na kutoa uamuzi wa kusitisha msaada wa kijeshi kwa Israel mwaka huo na shauri likapita na mwaka huo Israel hakupatiwa msaada wa kijeshi baada ya Sheriin Abu Akleh kupigwa risasi.
Yani wewe ni sawa na wale watu mnaomezeshwa tu conspiracy mkaamini.
Trump na Netanyahu wote walikiri kutimiza malengo,kama malengo hayakutimia Israel angeendelea kuyatimizaWazee wa kukariri, trump mwenyewe amekiri kushindwa kwa israel, wewe kama nani useme hayo! Huyu myahudi huyu sijui amewalisha lini.
Malengo gani?Trump na Netanyahu wote walikiri kutimiza malengo,kama malengo hayakutimia Israel angeendelea kuyatimiza