Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

Uharo mtupu.

Unadhani vita ni fika zako.
 
Unasemaje sasa?

Wamerusha siyo Moja kadhaa
 
Haya kashapiga makombora zaidi ya 300
Tuone huyo 8srael na wasaidizi wake watafanya nini
Marekebisho,
Soyo Makombora 300.. Nyingi Ni Drone (UAV) AINA YA kamikaze na makombora kadhaa.

Wengi wanakazania makombora.. Yangerushwa makombora 300 kama yalivyo , HABARI ingekuwa nyingine kabisa.
 
Jitoe JF tu kulinda ka heshima kako kadogo kalikobaki
 
Marekebisho,
Soyo Makombora 300.. Nyingi Ni Drone (UAV) AINA YA kamikaze na makombora kadhaa.

Wengi wanakazania makombora.. Yangerushwa makombora 300 kama yalivyo , HABARI ingekuwa nyingine kabisa.
Drones hazibebi burger
Zinabeba makombora/milipuko
 
Tatizo nini mzee wa upinde hajawahi kuwa sahihi hata kwenye mambo madogo?😀
 
Aise watu mna roho ngumu mmeufufua huu uzi na mwenyewe kajificha kwenye handaki hataki hata kuuona uzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…