Vyuma vikikatiza kuelekea kwenye kambi za US hawa jamaa sio wepesi!Hahah eti kaachia makusudi,wamarekani weusi kwa uongo uongo mko vzr.
dodge
Mi Bado nafuatilia kucomfirm Kama F-35 ilipigwa Jana ikijaribu kuingia Iran baada ya shambulizi
Iran ndimu sana wanashambulia pembeni ya kambi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na saa hii ndo move inayosubiriwa. Hata aspipopigwa ila akatwe tu egoUrusi kama ikiingilia kati mmarekani ataomba poo
Nilidhani Missile ya kwanza itaelekezwa Newyork au Los Angeles kumbe imeelekezwa kwa Waarabu wenzaoTuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
China na Huawei walipigishwa magoti USA, kwa hili nalo tutaona rangi ya moto tofauti na tuliyoizoea.Naona sasa wameamua kutupeleka WW3, IRAN imelipiza kisasi kwa kuvurumusha makombora ya masafa mafupi nchini Iraq dhidi ya Jambi mbili za kijeshi za Marekan zinazohifadhi wanajeshi za NATO..
Kwa ufupi, US na NATO ndio walichokua wanataka.
Russia na China ,hawawez acha Uwekezaji wao nchin Iran uende mikonon mwa NATO...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Askari 30 wakati hakuna hata mmoja aliyekufa makombora yote yametua pembeniRiport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,
Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.
Lakini vifaa vyao si vinaharibiwa au?Izo kambi zote uko zina bunkers (mahandaki) chini ya ardhi ya wanajeshi kuingia endapo watashambuliwa na mabomu kama leo na yana radar kudetect makombora mapema ili alarm ipigwe watu waingie kwenye bunkers wasipate madhara, na ndio kilichotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyuma vikikatiza kuelekea kwenye kambi za US hawa jamaa sio wepesi!
View attachment 1315576
Hii Sasa mbona ni hatari kubwa......MTU mwingine version ileile
Afrika 2020 kama ilivyotabiriwa na mpiga ramli
Wanabodi, mimi hapa sijaongeza neno hata moja naileta ramli hii kama ilivyo; ukiikubali sema twawile; ukiikataa nenda kwa mganga mwingine; au bali hivyo ulivyokuwa unaamini. Wakati tukianza ngwe ya pili ya miaka 20 ya karne hii ni vema muyasikie haya ya Wapiga Ramli kuhusu Afrika na wana wa...www.jamiiforums.com