Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Wakuu njooni hapa tubeti.

Huu mtanange was kukata na shoka unaotarajiwa kupigwa baina ya miamba wawili Iran vs marekani mkeka wangu unasomeka hivi.

IRAN 5 VS MAREKAN 0.

Nimeipa Iran ushindi kwa sababu safari hii ulimwengu wa kiarabu hautakaa ukubali kushindwa tena. Huyo muamerica amewaonea Sana warabu kwa miongo kadhaa safari hii watetea dini ya mwenyezi Mungu wanapata ushindi asubuhi na mapema.

Naomba nikiri wazi hapa Mimi sio mtaalamu wa vita na Wala sishabikii ila kwa kawaida mtu akionewa muda mrefu huwa kuna siku anapindua uonevu kwa njia ya ajabu sana.

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah eti kaachia makusudi,wamarekani weusi kwa uongo uongo mko vzr.

dodge
Vyuma vikikatiza kuelekea kwenye kambi za US hawa jamaa sio wepesi!
 
Iran ndimu sana wanashambulia pembeni ya kambi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,

Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.
 
TUJITEGEMEE, military source from Tehran told Sputnik that Iranian military jets are airborne and currently flying in border areas as the operation takes place.

Earlier Wednesday morning, approximately 35 missiles were launched and struck US targets in Erbil, Iraq and the country's Ayn al-Asad Air Base, which houses US military forces.

Wamerusha makombora 35 kati ya hayo yote 15 tu wamefanikiwa kuingia Iraq mengine itakua yamedondoka njiani. Na Kati ya hayo 15 kuna mengine bado hayakuhit Target ndo maana mpaka hakuna Mmarekani au mwanajeshi aliyekufa.

Second Wave of Missile Attacks Fired Against US Targets in Iraq - Iranian Media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaza watu wa Dar walivyozoea kula chipsi mayai, hivi wataweza kweli kuchimba hata mahandaki iwapo hiyo vita ikija pande za huku kwetu ! hapa naona wengi wataishia tu kujificha kwenye ma culvert...
 
Missile of the Nation, Na pentagon wanasema katika sheria za kimataifa za vita hairuhusiwi kupiga cultural sites kwa namna yoyote, ila Trump anaforce

Goite
 
Sasa na nyie hamueleweki mulikuwa mnataka Iran alipize kisasi?
 
Naona sasa wameamua kutupeleka WW3, IRAN imelipiza kisasi kwa kuvurumusha makombora ya masafa mafupi nchini Iraq dhidi ya Jambi mbili za kijeshi za Marekan zinazohifadhi wanajeshi za NATO..


Kwa ufupi, US na NATO ndio walichokua wanataka.


Russia na China ,hawawez acha Uwekezaji wao nchin Iran uende mikonon mwa NATO...
China na Huawei walipigishwa magoti USA, kwa hili nalo tutaona rangi ya moto tofauti na tuliyoizoea.
 
Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,

Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Askari 30 wakati hakuna hata mmoja aliyekufa makombora yote yametua pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo kambi zote uko zina bunkers (mahandaki) chini ya ardhi ya wanajeshi kuingia endapo watashambuliwa na mabomu kama leo na yana radar kudetect makombora mapema ili alarm ipigwe watu waingie kwenye bunkers wasipate madhara, na ndio kilichotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini vifaa vyao si vinaharibiwa au?
 
Mzee wa kutweet" kaishia leo kuandia tu "All is well" baada ya Iran kushusha mvua ya moto . ...
IMG_20200108_085823.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU mwingine version ileile

Hii Sasa mbona ni hatari kubwa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom