MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Wakuu njooni hapa tubeti.
Huu mtanange was kukata na shoka unaotarajiwa kupigwa baina ya miamba wawili Iran vs marekani mkeka wangu unasomeka hivi.
IRAN 5 VS MAREKAN 0.
Nimeipa Iran ushindi kwa sababu safari hii ulimwengu wa kiarabu hautakaa ukubali kushindwa tena. Huyo muamerica amewaonea Sana warabu kwa miongo kadhaa safari hii watetea dini ya mwenyezi Mungu wanapata ushindi asubuhi na mapema.
Naomba nikiri wazi hapa Mimi sio mtaalamu wa vita na Wala sishabikii ila kwa kawaida mtu akionewa muda mrefu huwa kuna siku anapindua uonevu kwa njia ya ajabu sana.
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app