Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Na pentagon wanasema katika sheria za kimataifa za vita hairuhusiwi kupiga cultural sites kwa namna yoyote, ila Trump anaforce

Goite
Vita haina macho.
 
Nimeona hii kitu, Iran wamekasirika sana kwa walichofanyiwa na Marekani, sasa Trump nae sijui kama ataweza kuvumilia hilo la kushambuliwa kituo chao lipite, kwasababu inaonekana hakuna madhara makubwa yaliyotokea, but Trump huyu... fingers crossed.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah we jamaa kwa fix duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazani ao majirani watakaa tu kama roboti et iran ana piga mabomu yake kwao....apo ni kichapo tu iran ndo ata umia zaidi




Inauma eeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waingie KABISA US!
MBINU KTK MEDANI BADO MAREKANI YUPO UPPER HAND [emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi madhara ni makubwa ama madogo lakini Iran kashambulia kambi mbili kwa mpigo pasipo rada za Marekani kuyapangua makombora
 
Watapigwa Waarabu na Waafrika pekee.
Wazungu watabaki kutufariji na kutuletea misaada baada ya majeraha na mauaji ya kutisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vita ya zamani sio ya Sasa.

Zamani mzungu mmoja alikuwa na uwezo wa kukamata mabaunsa watano wa kiafrica ili wammebe ila Sasa hivi naamini hata wewe mzungu akikujia kihasara unamla vibaya Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran kuna kiburi anakipata nyuma ya pazia

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi, North korea au China...Ila Iran wanataka washambuliwe waiingize Israel vitani ili kuungwa mkona na waarabu pro-Shai.
Trump nae anashida ya maelewano na wapanga vita wake.. anata 'pigaua' bila kujali upande wa kisiasa kwake na uhusiano na mataifa ya Ulaya
 
Kuna pro US walisema Iran hawezi ku retaliate lakini amefanya hivyo ndani ya muda mfupi tena huku vikosi vya Marekani kote duniani hususan Iraq vikiwa kwenye high alert.Iran sio wakumbeza ana nguvu kubwa kijeshi na kiteknolojia
Like Saddam Hussein [emoji3][emoji3][emoji3][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…