jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Vita haina macho.Na pentagon wanasema katika sheria za kimataifa za vita hairuhusiwi kupiga cultural sites kwa namna yoyote, ila Trump anaforce
Goite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita haina macho.Na pentagon wanasema katika sheria za kimataifa za vita hairuhusiwi kupiga cultural sites kwa namna yoyote, ila Trump anaforce
Goite
Sina uhakika,maana usiku ndege za marekani zilinyanyuka kuelekea Iran,na Trump alikuwa ahutubie taifa lake usiku huohuo,ghafla Trump akaahirisha hotuba,
Nikasikia Kuna ndege ya marekani imetunguliwa karibu na bandar Abbas,
Mida ya saa Tisa za usiku,now sijui kuliendaje maana Trump mpaka Sasa Yuko kimya,wanadai no casualties Bado wanafanya assessment
Nasubir Iran amuue Mkuu wa majeshi wa marekan , au apige Washington Zaid ya hapo anafanya mchezo wa kitoto tuu,
usa hawezi anzisha vita,ataweka tu vikwazo,vita na taifa kubwa la kiislam kama iran,ni kuchafua mashariki ya kati yote,iran atalipua bezi sa usa katika nchi za kiarabu zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya wanaume wa kiislam/kiarabu,waliobaki kwa sasa duniani ni irani pekeake,hata kupiga hayo makombora 15 ni ujasiri wa hali ya juu,ukiondoa russia,china,na north korea,,hakuna mwingine anaeweza kulipa kisasi,hata kurusha risasi moja kwenye himaya ya usa,,iran imewaonya majirani zake wote,ambao wamemkubalia usa kuweka ,,base,, zake,kuwa watakuwa target ya kwanza kushambuliwa,,SWALI,,je mataifa ya kiarabu yako tayari,raia wake wafe,majengo marefu yaporomoshwe na makombora ya iran,amani ichafuke na uchume uyumbe,kwa ajili ya maslahi ya USA?ili hali huko usa raia wake wanastarehe hawana bugdha yeyote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Waingie KABISA US!Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
Muda si mrefu majibu yatapatikanaTrump anasema bado wanafanya tathmini ya hasara wewe unasema mabomu yameanguka pembeni! Ebu tufafanulie, uko Pentagon command and control centre ama Kilimatinde?( jokes)
Nimeona hii kitu, Iran wamekasirika sana kwa walichofanyiwa na Marekani, sasa Trump nae sijui kama ataweza kuvumilia hilo la kushambuliwa kituo chao lipite, kwasababu inaonekana hakuna madhara makubwa yaliyotokea, but Trump huyu... fingers crossed.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daniel 7... Ni taifa dogo ambalo halitakuwa miongoni mwa madola manne makubwa yatakayo pambana vita hii haitakuwa iran
Mkuu vita ya zamani sio ya Sasa.Watapigwa Waarabu na Waafrika pekee.
Wazungu watabaki kutufariji na kutuletea misaada baada ya majeraha na mauaji ya kutisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi, North korea au China...Ila Iran wanataka washambuliwe waiingize Israel vitani ili kuungwa mkona na waarabu pro-Shai.
Like Saddam Hussein [emoji3][emoji3][emoji3][emoji12]Kuna pro US walisema Iran hawezi ku retaliate lakini amefanya hivyo ndani ya muda mfupi tena huku vikosi vya Marekani kote duniani hususan Iraq vikiwa kwenye high alert.Iran sio wakumbeza ana nguvu kubwa kijeshi na kiteknolojia
qatar hawezi pigwa,huyo ni pro-iran,hata kama kuna base ya usa...Yajayo yanafurahisha Quatar,Saudi Arabia,UAE wajiandae kisaikolojia.
Dubai itarudi kua jangwa kwa mabomu itakayopigwa.
dodge