Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mbona kuna taarifa kuwa iran wamepiga off~target..

Nasikia wamepiga makontena ya korosho huko.
 
Mbona drone za US ilipomwua Jenerali america waliclaim wenyewe wamehusika kwanini Iran isiseme wameua wangapi,poor technology hujui hata umeua wangapi ndo utakuja kupambana na US?
Kwa kua yeye ndiye yupo kwny hizo kambi zilishambuliwa za US sio?

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tupe chanzo chako,kinachosema amepiga,,off target,,au hujui maana ya off target?mpaka marekani wamekiri kambi zao zimeshambuliwa,na wanatathimini damage iliyotokea ndo watoe majibu,,sasa hiyo off target,ameipiga nje ya kambi au?kumbuka nchi ile ni iraq,kama amepiga nje ya kambi usa,hawana hasara...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We upo kwenye izo kambi zilizoshambuliwa?.maana unajuaje kama madhara hakuna pasipo kuwepo eneo latukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US wanaficha maradhi...ngoja kifo kitawaumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kumbe lile kombora lililopita hapa Chamwino usiku wa kuamkia leo lilirushwa na Iran kuelekea kambi ya NATO huko Iraq?
 
Wapo wanajeshi wa marekani waliokufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
Trump atakuwa mpole maana anaogopa kushindwa uchaguzi. Akilipiza nao Iran wakalipiza tena basi anaweza kuingia kwenye vita ya muda mrefu akaishia kuwa rais wa one term. Hiki kitu Trump akikiwaza huwa anapata maruweruwe

Labda atawaweka kiporo Iran aje awapige baada ya Nov
 
Iran sio Underdog kama watu wanavyofikiri.
Wana teknolojia na mfumo mzuri wa kijeshi.
Akipata support ya Russia vita itakuwa kubwa sana.
Israel atakuwa targeted+others Arab countries
 
Unazungumzia wairani tunaoishi buza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona drone za US ilipomwua Jenerali america waliclaim wenyewe wamehusika kwanini Iran isiseme wameua wangapi,poor technology hujui hata umeua wangapi ndo utakuja kupambana na US?

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani kashambulia mtu ambaye ametoka airport yupo kwenye usafiri wa kawaida anaenda kuonana na kiongozi wa Iraq, wakati Iran wao wameshambulia base yenye mpaka mifumo ya kujilinda na makombora.sasa hapo nani mkali?

Alafu wanatuambia kuwa wana uwezo wa kuzuiya ICBM wakati balistic missile zimewatoa jasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…