Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani zishambuliwe kambi mbili za jeshi halafu asife mjeda hata mmoja?? Labda hizo Ni kambi za kuhifadhia Korosho
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi madhara ni makubwa ama madogo lakini Iran kashambulia kambi mbili kwa mpigo pasipo rada za Marekani kuyapangua makombora
Kwa kua yeye ndiye yupo kwny hizo kambi zilishambuliwa za US sio?
dodge
Mpak sasa graph inasoma Us 50 Iran 0 , Kwanza Kwa status ya Yule Mkuu wa majeshi aliyeuawa Iran inatakiwa iue mtu wa status hyo hyo toka marekan , ikishindikana aue Us soldiers 50K ndo thaman ya Yule Mkuu wa majeshi , cha kushangaza kashambulia Iraq tena kapiga offtarget, matokeo ya kukurupuka na mihemko na hii ni Kwa sababu watu wa Iran shule hamna ni weupe tuu kichwani
Mbona kuna taarifa kuwa iran wamepiga off~target..
Nasikia wamepiga makontena ya korosho huko.
Kwan hapa ni wapi kiongozi!Ingia mtandao uko ,nikilele tu ..kumemezwa na Posts za Iran kushambulia
We upo kwenye izo kambi zilizoshambuliwa?.maana unajuaje kama madhara hakuna pasipo kuwepo eneo latukioAman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Iran wewe ni mwanangu wa muda mrefu sana huwa nakutetea sana lakin siku hizi umekua muoga wa waoga sana aisee
Yaan kamanda mkuu wa jeshi kauwawa alafu wewe unaenda kulipiza kisas kitoto toto tu
Yaan upapiga off target katika kambi za America huko iraq sasa ndo nini sasa
Ua hata wanajeshi 50 bas
Siyo unaenda kulipa kisasi hujaua hata mmoja alafu unajisifu hapa
Umeniangusha sana mwanawane Iran
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
US wanaficha maradhi...ngoja kifo kitawaumbua.Sina uhakika,maana usiku ndege za marekani zilinyanyuka kuelekea Iran,na Trump alikuwa ahutubie taifa lake usiku huohuo,ghafla Trump akaahirisha hotuba,
Nikasikia Kuna ndege ya marekani imetunguliwa karibu na bandar Abbas,
Mida ya saa Tisa za usiku,now sijui kuliendaje maana Trump mpaka Sasa Yuko kimya,wanadai no casualties Bado wanafanya assessment
Angalia aljazeera saiziAcha fix mkuu vyombo vyote vya habar duniani havijasema kama kuna vifo wewe unasema kuna vifo vya askar 30 duh....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanajeshi wa marekani waliokufa?Ushimen Marekani amendoa wananchi wake tu huko Iraq ila wanajeshi wake wapo kama kawaida na ndiyo kwanza wamewaongeza ili kujiandaa kivita, unafikiri Marekan ataweza kuliondoa jeshi lake Iraq? Ili amkabiri Iran akiwa nchi gan ikiwa Saudia ana maslah yake lukuki!
Marekani hakutarajia kama ngome zake zinaweza kufikiwa na makombora Iran, hvi unafikiri hakukuwa na mifumo yakujilinda makombola hapo? Yapo lakin ndo hvo mvua zimepita.
Marekani watutangazie tu wanajeshi wangapi wamekata kamba kama walivyo muua jenerali wa iran.
Trump atakuwa mpole maana anaogopa kushindwa uchaguzi. Akilipiza nao Iran wakalipiza tena basi anaweza kuingia kwenye vita ya muda mrefu akaishia kuwa rais wa one term. Hiki kitu Trump akikiwaza huwa anapata maruweruweRetaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
Kiufupi Iran hakusubiri wasahau biti kafanya kweliKuna pro US walisema Iran hawezi ku retaliate lakini amefanya hivyo ndani ya muda mfupi tena huku vikosi vya Marekani kote duniani hususan Iraq vikiwa kwenye high alert.Iran sio wakumbeza ana nguvu kubwa kijeshi na kiteknolojia
Mpak sasa graph inasoma Us 50 Iran 0 , Kwanza Kwa status ya Yule Mkuu wa majeshi aliyeuawa Iran inatakiwa iue mtu wa status hyo hyo toka marekan , ikishindikana aue Us soldiers 50K ndo thaman ya Yule Mkuu wa majeshi , cha kushangaza kashambulia Iraq tena kapiga offtarget, matokeo ya kukurupuka na mihemko na hii ni Kwa sababu watu wa Iran shule hamna ni weupe tuu kichwani
Marekani kashambulia mtu ambaye ametoka airport yupo kwenye usafiri wa kawaida anaenda kuonana na kiongozi wa Iraq, wakati Iran wao wameshambulia base yenye mpaka mifumo ya kujilinda na makombora.sasa hapo nani mkali?Mbona drone za US ilipomwua Jenerali america waliclaim wenyewe wamehusika kwanini Iran isiseme wameua wangapi,poor technology hujui hata umeua wangapi ndo utakuja kupambana na US?
Sent using Jamii Forums mobile app