Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Iran wewe ni mwanangu wa muda mrefu sana huwa nakutetea sana lakin siku hizi umekua muoga wa waoga sana aisee
Yaan kamanda mkuu wa jeshi kauwawa alafu wewe unaenda kulipiza kisas kitoto toto tu
Yaan upapiga off target katika kambi za America huko iraq sasa ndo nini sasa
Ua hata wanajeshi 50 bas
Siyo unaenda kulipa kisasi hujaua hata mmoja alafu unajisifu hapa
Umeniangusha sana mwanawane Iran
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu haji kama unavyofikiria brother.Mkuu vita ya zamani sio ya Sasa.
Zamani mzungu mmoja alikuwa na uwezo wa kukamata mabaunsa watano wa kiafrica ili wammebe ila Sasa hivi naamini hata wewe mzungu akikujia kihasara unamla vibaya Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaficha akina nani?. Hivi sources za habari zote huwa zinatokea marekani tu?Hivi kuna kambi isiyo na mwanajeshi? baso hizo sio kambi ni Godown za kuhifadhia korosho! Unahani marekani atakubali kusema wanajeshi wake wameuawa??? Siasa nyingi usikute wameuawa ila wanaficha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN waoga hakuna walichofanya wangerusha Rocket mbili uko New York City au Washington DC ndiyo ningewaona wamefanya la maana.
Mbona drone za US ilipomwua Jenerali america waliclaim wenyewe wamehusika kwanini Iran isiseme wameua wangapi,poor technology hujui hata umeua wangapi ndo utakuja kupambana na US?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran siyo muarabu....Wakuu njooni hapa tubeti.
Huu mtanange was kukata na shoka unaotarajiwa kupigwa baina ya miamba wawili Iran vs marekani mkeka wangu unasomeka hivi.
IRAN 5 VS MAREKAN 0.
Nimeipa Iran ushindi kwa sababu safari hii ulimwengu wa kiarabu hautakaa ukubali kushindwa tena. Huyo muamerica amewaonea Sana warabu kwa miongo kadhaa safari hii watetea dini ya mwenyezi Mungu wanapata ushindi asubuhi na mapema.
Naomba nikiri wazi hapa Mimi sio mtaalamu wa vita na Wala sishabikii ila kwa kawaida mtu akionewa muda mrefu huwa kuna siku anapindua uonevu kwa njia ya ajabu sana.
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana uwezo huo ashambulie tuone kama kweli yeye mwanaumeTushawazoea nyie wazee wa lawama...akishambulia mtakuja kulia hapa na kumuita US gaidi...swala la muda tu [emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nyuma ya kibodi ni bonge la mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mwana ukome, itakua Kumkoma nyani jiladiAkiwapiga mnasema mkorofi akiwaacha mnasema muoga
Round hii itakua mwanaukome
Mbona Iran wamesema hawana nia ya vita, nyie watu mnahamishia ushabiki wa mpira kwenye hili tukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hadi aljazira wamedhibitisha basi ni kweli.
Nashaur kuwa kama nchi haina uwezo wa kuipiga marekan direct pale newyork au Washington tokea nchin kwake , hyo nchi iachane na vita dhidi ya USA , Ila kama uwezo upo bas wazichape....