Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

I wish yangeandika hivo...but yalichoandika ni far far far far even far worse than that
Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Iran wewe ni mwanangu wa muda mrefu sana huwa nakutetea sana lakin siku hizi umekua muoga wa waoga sana aisee

Yaan kamanda mkuu wa jeshi kauwawa alafu wewe unaenda kulipiza kisas kitoto toto tu

Yaan upapiga off target katika kambi za America huko iraq sasa ndo nini sasa

Ua hata wanajeshi 50 bas

Siyo unaenda kulipa kisasi hujaua hata mmoja alafu unajisifu hapa

Umeniangusha sana mwanawane Iran


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200108-095119.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vita ya zamani sio ya Sasa.

Zamani mzungu mmoja alikuwa na uwezo wa kukamata mabaunsa watano wa kiafrica ili wammebe ila Sasa hivi naamini hata wewe mzungu akikujia kihasara unamla vibaya Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu haji kama unavyofikiria brother.

Ulicheck wakati wa Osama, nchi za kiarabu zimepigwa kwa kisingizio eti tumepata taarifa kuwa Osama kakimbilia sehemu fulani; wanakupiga unabaki na maumivu!

Ujue kabisa hii vita ikitokea kuna Waafrika watakwenda kusaidia upande wa yule wanaomkubali. Na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa chuki na kupigwa na either mzungu or mwarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump ni mwanaume kweli aliona watu wanamwandama akatengeneza tukio na kama kawaida ya wamerekani uwa wanaungana kwenye mambo ya kitaifa mkakati wa white house umefanikiwa.
 
Wakuu njooni hapa tubeti.

Huu mtanange was kukata na shoka unaotarajiwa kupigwa baina ya miamba wawili Iran vs marekani mkeka wangu unasomeka hivi.

IRAN 5 VS MAREKAN 0.

Nimeipa Iran ushindi kwa sababu safari hii ulimwengu wa kiarabu hautakaa ukubali kushindwa tena. Huyo muamerica amewaonea Sana warabu kwa miongo kadhaa safari hii watetea dini ya mwenyezi Mungu wanapata ushindi asubuhi na mapema.

Naomba nikiri wazi hapa Mimi sio mtaalamu wa vita na Wala sishabikii ila kwa kawaida mtu akionewa muda mrefu huwa kuna siku anapindua uonevu kwa njia ya ajabu sana.

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran siyo muarabu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom