Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Ni wapi wametangaza kwamba kwamba hakuna vifo, maana trump kasema ukaguzi unafanyika which means hawajui kama kuna vifo au la, sasa wewe umepata wapi data zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamjua elungata unajua cheo chake

Au umeamua uropoke tu
Just respect some people in here they are more than what you may think

Sent using Jamii Forums mobile app
Namfahamu ni much know flani hivi na mara nyingi hubishana na wasiojua hivyo inakuwa ni faida kwake kuwapiga T.K.O
.
He's nothing to me in anything
 
Germany,Australia zimesema ziko tayari kuondoa majeahi yake Iraq.
dodge
 
Jinsi ninavyo soma hizi habari kuna hari flani hivi ya Ku relate na zile movies za kimarekani inaniji akilini, sijui ni mimi tu..!
 
Hakuna data yeyote iliyo toka na na kusema kuna mtu kafa ama la, alafu sio makombora 35 huo ni uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi wa kimarekani ambao idadi yao ni kati ya 30 hadi 80 wanasadikiwa kuuwawa kinyama katika shambulizi lililofanywa na jeshi la mashujaa wa Iran,

Aksante Iran.
 
Taarifa niliyonayo dakika hii Iran wametungua ndege ya Ukraine kwa bahati mbaya
😝😝😝 chanzo chako ni RT?
RT ni anti America usitegemee jema
.

Engine catching fire led to Ukrainian Boeing 737 crash in Iran - airport official representative
rt.com
Haya soma hiyo uje uandike ulichoadika
.
 
Hapo mjanja ni US,kampiga organizer mkuu ,unampiga mchunganji kondoo wanatawanyika,ukipiga kondoo tu hujafanya kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama huna intelligence hata kujua idadi ya unaowaattack unashambulia nini kama siyo unabahatisha
Hivi kumbe missles zikienda kulipua inabidi ziwe attached na camera ili ziweze kuona waliokufa kwenye tukio husika sio?

Kama US wana technology hio itakua wametisha sana.


dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasubiri kwanza liverpool tuchukue ndoo ndo wapigane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…