Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ni wapi wametangaza kwamba kwamba hakuna vifo, maana trump kasema ukaguzi unafanyika which means hawajui kama kuna vifo au la, sasa wewe umepata wapi data zako?Mi nadhan hakuna vita itakayotokea, na hakuna anaetaka vita sio US wala Iran.
Javad Zarif, Foreign Minister wa Iran kwnye twitter page yake..... anasema baada ya kuattack base za US wame "conclude" revenge yao and hawana mpango wa vita.
Iran wako under pressure kutoka ndani to respond lakini wamefanya shambulio calculated bila kusababisha casualties/vifo na kuplay diplomacy.
Kwa sasa nadhan balance kwny hii saga is restored, US walimuua general wakabaki na guilt, Iran amerespond somehow so guilt is written off...... suala hapa ni "what comes next", tusitegemee vita ila figisu zitaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app